Mzungu wa Yanga ajiuzulu Yemen KOCHA wa zamani wa Yanga, Mbelgiji Tom Saintfiet amejiuzulu kuifundisha timu ya Taifa ya Yemen Jumamosi
Profesa J aeleza haya baada ya kutajwa na Magufuli Mbunge wa zamani wa Mikumi (Chadema), Joseph Haule maarufu Profesa J amesema Rais wa Tanzania, John Magufuli kuomba apigiwe wimbo wa Baba ni mwendelezo wa kiongozi mkuu huyo wa nchi kuwa shabiki...
Mwili wa Magufuli kuagwa mikoa minne Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dk Hassan Abbas amesema ratiba ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli imekamilika na itatolewa kwa umma leo Ijumaa Machi 19, 2021 na Makamu wa...
Ronaldo auota ubingwa Kombe la Dunia 2022 Mshambuliaji huyo ameshindwa kuisaidia Ureno kutwaa ubingwa wa Dunia mwaka huu
Winga Yanga apata timu Ubelgiji KLABU ya Bevelen ya Ubelgiji imeanza mchakato wa kumsajili winga machachari wa Yanga, Emmanuel Martin kwenye kikosi chake baada ya kuvutiwa na soka lake.
Sanchez majanga huko Man United Kama lisemwalo lipo na kisha Sanchez akawa nje ya uwanja kwa mwezi mzima, basi jambo hilo litamfanya akose mechi nane, ikiwamo dhidi ya Arsenal, timu yake ya zamani na Liverpool uwanjani Anfield.
Man United wanafosi kumng’oa Bale Madrid LISEMWALO lipo, ndiyo wanavyosema. Ni hivi, Manchester United wameripotiwa kumwambia Gareth Bale kulazimisha uhamisho wa kuhama Real Madrid ili wao wamchukue kama kweli anataka kurudi kwenye Ligi...
Diamond kuwania tena tuzo BET Kwa mara ya tatu msanii wa Bongofleva, Diamond Platnumz amechanguliwa kuwania tuzo za BET 2021 katika kipengele cha ‘Best International Act’ zitakazotolewa Juni 28, 2021.
Bongo Muvi yaandaliwa kuuzika kimataifa Warsha yatolewa kuwajengea wadau wa tasnia hiyo kuwa na uwezo wa kutoa filamu ambayo itakuwa inauzika sio Tanzania pekee kutokana na maudhui yatakayopatikana kwenye filamu husika.
Zahera: Timu nyingi zinanitaka Muda mfupi baada ya Yanga kung’olewa katika mashindano ya kimataifa, kocha wa timu hiyo Mwinyi Zahera amesema ana ofa nyingi mkononi kutoka kwa klabu zinazomtaka.