Cheki Lamar anavyokimbiza mfukoni na jukwaani WIKI chache zilizopita, rapa wa Marekani, Kendrick Lamar, alirudi kwenye vichwa vya habari baada ya kushinda tuzo za Grammy na kuweka rekodi ya kuwa rapa aliyefanya hivyo mara nyingi zaidi (27).
Liverpool mstari wa mbele dili la Anthony Gordon LIVERPOOL ipo mbele katika mbio za kumsajili winga wa Newcastle United na timu ya taifa ya England, Anthony Gordon, 24, ambaye pia anahitajika na Manchester City na Arsenal.
Slot aweka wazi hatma ya Ibrahima Konate KOCHA wa Liverpool, Arne Slot, amefunguka kuhusu mustakabali wa beki kisiki wa timu hiyo raia wa Ufaransa, Ibrahima Konate ambaye mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwisho wa msimu huu.
TRA United mambo si shwari MABOSI wa TRA United huenda wakaachana na kocha mkuu wa timu hiyo, Mrundi Etienne Ndayiragije, baada ya pande hizo zote mbili kutokuwa na maelewano mazuri kwa siku za hivi karibuni, jambo...
Haaland bado anaumwa, Arsenal kicheko KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, amekiri kuwa Erling Haaland hayuko fiti kwa asilimia 100 baada ya kutoonekana uwanjani katika mechi ya Kombe la FA dhidi ya Salford.
Tyson afunguka pambano la Mayweather BONDIA mkongwe, Mike 'Iron' Tyson ametoa taarifa muhimu kuhusu pambano linalosubiriwa kwa hamu kati yake na Floyd Mayweather.
Mavitu ya Japhet Makarai yamkosha Tico Tico KAIMU Kocha Mkuu wa TMA ya jijini Arusha, Omary Matwiko 'Tico Tico', amesema tangu winga mpya, Japhet Vedastus Makarai, ajiunge na kikosi hicho katika dirisha dogo la Januari 2026, ameleta...
Tanzanite Queens bado kidogo fainali za Kombe la Dunia U20 USHINDI wa bao 1-0 iliyopata timu ya taifa ya Tanzania ya Wanawake wenye umri chini ya miaka 20, Tanzanite Queens umeiwezesha kuanza kunusa ushiriki wa Fainali za Kombe la Dunia U20 2026, kwani...
Cunha: Pointi 15 ni muhimu kuliko nywele za shabiki KIUNGO wa Manchester United, Matheus Cunha ametoa maoni yake kuhusu shabiki wa Manchester United ambaye ameapa kutonyoa nywele zake hadi klabu hiyo ishinde mechi tano mfululizo, akisema jamaa...