Rekodi mbaya zaiandama Man United BAADA ya kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Wolves wikiendi iliyopita, Manchester United imeendelea kuweka rekodi mbaya msimu huu ikiwa ni mara ya kwanza kupoteza mechi 15 katika msimu mmoja baada ya...
Arteta afunguka hali ya Saka KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amewahakikishia mashabiki wa Arsenal kuwa staa wa timu hiyo, Bukayo Saka hakuumia vibaya licha ya faulo mbali aliyofanyiwa na kulazimu atolewe katika mchezo wa...
Brazil yarudi kwa Ancelotti SHIRIKISHO la Soka la Brazil limerudi tena mezani kuzungumza na wawakilishi wa kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti kwa ajili ya kumtaka akawe kocha wao mkuu kuelekea Kombe la Dunia la 2026...
Yanga kutangaza utalii kupitia 'Visit Zanzibar' Katika juhudi za kuimarisha utalii wa ndani na kikanda, Kamisheni ya Utalii Zanzibar (ZCT) imeingia ushirikiano na klabu ya Yanga wakisaini mkataba wa kutangaza vivutio vya Zanzibar kupitia kauli...
Evra amtaka Suarez wapigane LEJENDI wa Manchester United, Patrice Evra, yupo kwenye mchakato wa kufanya mabadiliko ya kushangaza kwa kuwa mpiganaji wa MMA na anataka kucheza pambano moja dhidi ya Luis Suarez.
Man City ikishinda kesi, klabu za EPL imekula kwao KESI ya kisheria kati ya Manchester City na mamlaka zinazosimamia Ligi Kuu England huenda ikaibua mapya na kuzigharibu klabu zinazoshiriki Ligi Kuu England kwa kutakiwa kuilipa fidia miamba hiyo...
Arsenal kuzipiku Man United, Chelsea INAELEZWA Arsenal watakuwa na nafasi ya kutumia pesa nyingi zaidi kuliko Manchester United na Chelsea kutokana na faida kubwa ya kufika kwao nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Rashford awapiga kibega PSG chap Staa, Marcus Rashford ameripotiwa atatupilia mbali ofa ya kwenda kujiunga na Paris Saint-Germain mwishoni mwa msimu huu ili aendelee kubaki zake Manchester United.
Mbinu zaibeba Simba ugenini SIMBA imemaliza salama dakika 90 za kwanza za mchezo wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho, huku shukrani zikienda kwa mbinu alizozitumia kocha Fadlu Davids za timu hiyo kufunguka mwanzo...
Wanyeche avunjwa ukimya, aitaja Lugalo MSHINDI wa mashindano ya Gofu ya Alliance, yaliyofanyika wikiendi iliyopita mjini Morogoro, Enoshi Wanyeche ameweka wazi yeye ni mchezaji wa klabu ya Gofu ya Lugalo na sio Kili Golf ya Arusha...