Arsenal wanawake yatwaa Uefa BAADA ya kumaliza msimu bila ya kushinda taji lolote kwa upande wa wanaume, mashabiki wa Arsenal huenda wakajifuta machozi baada ya timu yao ya wanawake kushinda taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya...
Bilbao yaikazia Madrid kwa Nico Williams KOCHA wa Athletic Bilbao, Ernesto Valverde ametuma ujumbe kwa Real Madrid, baada ya kusisitiza kuwa mabosi wa timu hiyo wanafanya kila linalowezekana ili staa wao Nico Williams abakie kwenye...
Guardiola ang’aka kuhusu Grealish KOCHA, Pep Guardiola amempiga chini Jack Grealish kwenye kikosi chake kilichocheza mechi ya mwisho msimu huu, kisha akisema winga huyo Mwingereza anaweza kuondoka mwisho wa msimu.
Antonio Conte kuipiga kibuti Napoli KOCHA, Antonio Conte amepanga kuachana na Napoli kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi licha ya kuiongoza klabu hiyo kushinda taji la Serie A msimu huu, imeelezwa.
Milan yazitajia, Madrid, Bayern bei ya Leao AC Milan wamewaambia wawakilishi wa Real Madrid na Bayern Munich kuwa inahitajika Euro 130 milioni ili kuipata saini ya mshambuliaji wao Rafael Leao katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Zidane akataa ofa kubwa Saudi Arabia KOCHA wa zamani wa Real Madrid, Zinedine Zidane amekataa nafasi ya kurejea katika ukocha licha ya kutokuwa na kazi kwa miaka minne.
Slot anatafuta mtu Liverpool KOCHA wa Liverpool, Arne Slot, anatafuta msaidizi mpya baada ya John Heitinga kuachana na timu hiyo na kutua Ajax ambako amepata ajira ya kuwa kocha mkuu.
Mchumba wa Diaz aaga Liverpool MCHUMBA wa Luiz Diaz ambaye ni mshambuliaji wa Liverpool, Gera Ponce amechapisha ujumbe wa hisia kwenda kwa mashabiki wa Liverpool ambao unahisiwa kuwa ni miongoni mwa nyota walio mbioni kuondoka.
Arteta: Unabisha? Angalia takwimu MIKEL Arteta ameshikilia msimamo wake, Arsenal ilikuwa timu bora zaidi kati ya zote zilizocheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu na kumwambia Luis Enrique anayebisha “Kaangalie takwimu.”
Maresca bado yupo sana Chelsea TAARIFA za ndani kutoka Chelsea zimeweka wazi Kocha wa timu hiyo, Enzo Maresca ataendelea kuwepo msimu ujao hata kama matajiri hao wa Jiji la London watashindwa kufuzu kucheza Ligi ya Mabingwa...