Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8528 results for Mwandishi Wetu :

  1. Wachezaji wanaolipwa mishahara mikubwa kila klabu EPL

    MKATABA mpya wa Bukayo Saka kwenye kikosi cha Arsenal unamfanya kuwa mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi katika klabu hiyo.

    MATAJIRI Pict
  2. Alonso agomea dili Olympique de Marseille

    KOCHA Xabi Alonso amekataa ofa kutoka klabu ya Olympique de Marseille ya Ufaransa, huku tetesi za kurejea kwake Liverpool zikiendelea kushika kasi kuelekea dirisha lijalo la uhamisho wa majira ya...

    ALONSO Pict
  3. Hervé Renard ajutia uamuzi wa kuiacha Morocco

    Kocha raia wa Ufaransa, Hervé Renard, amekiri kuwa kujiuzulu kwake kama kocha mkuu wa timu ya taifa ya Morocco mwaka 2019 ilikuwa ni uamuzi wa makosa kwani alipaswa kuendelea hadi mwisho wa...

    HERVE Pict
  4. 32 wakamatwa Uturuki wakituhumiwa kupanga matokeo

    MAMLAKA za Uturuki zimewakamata maafisa 32 wa klabu 13 za soka, wakituhumiwa kwa upangaji matokeo ya mechi.

    MAAFISA Pict
  5. Mgunda meno nje, akiisikilizia Yanga

    BAADA ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Magnet FC, Kocha Mkuu wa Namungo, Juma Mgunda, amesema umerudisha morali kwa wachezaji ikijiandaa kuipokea Yanga keshokutwa Jumapili.

    MGUNDA Pict
  6. Mtoano wa 16 bora Uefa umeanza kunoga

    TIMU zilizofuzu hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ziko hatua moja karibu zaidi kufahamu wapinzani wao wanaofuata baada ya michezo ya kwanza ya hatua ya mtoano (play-offs).

    UEFA Pict
  7. Saha ataja viungo wawili wakunaswa Man United

    MABOSI wa Manchester United wameambiwa wawasajili mastaa wawili hatari kama mbadala wa Casemiro, huku majina ya wachezaji watakaochukua nafasi ya Mbrazili huyo huko Old Trafford yakitajwa hadharani.

    SAHA Pict
  8. Kipa Courtois ajitosa kwenye kumiliki timu

    KIPA wa Real Madrid, Thibaut Courtois, ndiye mwanasoka wa hivi karibuni aliyejiunga kwenye orodha ya wamiliki wa klabu za soka.

    KIPA Pict
  9. Masharti ya Chelle kupelekwa Kamati ya Ufundi NFF

    MJUMBE wa Bodi ya Shirikisho la Soka la Nigeria (NFF) amethibitisha kuwa, masharti yaliyowasilishwa na kocha mkuu wa timu ya taifa hilo, Eric Chelle, yatafanyiwa tathmini na Kamati ya Ufundi ya...

    NFF Pict
  10. Morocco bado inautolea macho uenyeji Kombe la Dunia la Klabu 2029

    NCHI ya Morocco bado ina dhamira ya kuwa mwenyeji wa michuano ya Kombe la Dunia la Klabu 2029 kwa kushirikiana na Hispania, ikiamini imekidhi vigezo vyote vya kupewa nafasi hiyo na Shirikisho la...

    MOROCCO Pict
Previous

Page 201 of 853

Next