Fountain Gate V Yanga: Dakika 90 zenye hesabu tatu UWANJA wa Tanzanite Kwaraa, uliopo mjini Babati mkoani Manyara, leo Jumatatu utaamua jambo kubwa wakati wenyeji Fountain Gate watakapowakaribisha vinara wa Ligi Kuu Bara, Yanga.
DAKIKA ZA JIOOONI: Maeneo manne yameiangusha Fountain Gate UKIIANGALIA Fountain Gate inavyocheza na namna inavyopata matokeo katika mechi za Ligi Kuu Bara, utagundua kuna maeneo sita muhimu ambayo yanaifanya timu hiyo kuwa na shida kubwa.
DAKIKA ZA JIOOOONI: Pamba Jiji inavyokataa kuizima ndoto ya miaka 23 PAMBA Jiji kwa sasa wanaumiza kichwa kuona ile ndoto yao waliyoiota kwa takribani miaka 23 kushiriki Ligi Kuu Bara, haipotei kwa haraka. Wanachokifanya ni kuweka mikakati mizito kuilinda ndoto hiyo.
PRIME Huu hapa mtihani wa Kibu Denis katikati ya Waarabu MICHUANO ya Kombe la Shirikisho Afrika ipo hatua ya nusu fainali ambazo zinapigwa kesho Jumapili, wakati Simba itakapokuwa wenyeji wa Stellenbosch ya Afrika Kusini na CS Constantine ya Algeria...
PRIME Safari ya wazee wa kimataifa CAFCL, CAFCC WIKIENDI hii inaweza kutoa picha ya timu zipi zitacheza fainali ya michuano ya CAF msimu huu, upande wa Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho huku kukiwa na wababe nane wamesalia, wanne kila...
PRIME Stellenbosch yapata pigo, kocha akuna kichwa KIKOSI cha Stellenbosch kilitarajiwa kutua nchini jana tayari kwa pambano la kwanza la nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Simba, huku ikipata pigo.
PRIME Tamu, chungu rekodi ya Simba kwa Wasauzi JUMAPILI hii Aprili 20, 2025, Simba SC itaikaribisha Stellenbosch FC katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
PRIME Aliyeiua Simba Misri apata majanga IMETHIBITISHWA kuwa, mshambuliaji wa Al Masry, John Ibuka, raia wa Nigeria ambaye alifunga bao la pili waliposhinda 2-0 dhidi ya Simba, atakosekana kwenye mechi ya marudiano jijini Dar keshokutwa...
PRIME Simba yapewa mwamuzi mwenye rekodi zake KATIKA hesabu za Simba kuhakikisha inachanga vizuri karata zake na kufuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, inatakiwa kuwa makini na mwamuzi wa mchezo wao wa marudiano kutokana na...
PRIME Kilichoiponza Simba Misri hiki hapa, hesabu mpya zipo hivi ILI kutinga nusu fainali Simba inahitaji ushindi wa tofauti ya mabao matatu Kwa Mkapa Jumatano ijayo baada ya kufungwa 2-0 ugenini dhidi ya Al Masry katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa Kombe la...