Search

140 results for Kelvin Kagambo :

  1. PRIME TUONGEE KISHKAJI: Ya wasanii wa zamani, yatawakuta wapya

    LICHA ya kwamba Lamata Leah Mwendamseke unafanya kazi kubwa ya kuhakikisha Bongo Movie bado inaongelewa kupitia tamthiliya yako ya Jua Kali lakini na wewe jiandae kukutwa na yaliyomkuta Vincent...

  2. PRIME TUONGEE KISHKAJI: Kifo cha Haitham kiwashtue wasanii

    Ijumaa Septemba Mosi kiwanda cha burudani Tanzania kilimpoteza mmoja ya wapambanaji wake. Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Haitham Kim alifariki dunia akiwa anapatiwa matibabu kwenye Hospitali ya...

  3. TUONGEEKISHKAJI: Khaligraph kama Harmorapa tu

    KWENYE maisha mikwara ni kitu muhimu. Kuna msemo wa mtaani unasema pesa huna, nguvu huna, hata mkwara? Na hili nimejifunza kutoka kwa watu wengi lakini mtu ninayemkumbuka zaidi alikuwa ni...

  4. PRIME TUONGEE KISHKAJI: Ugomvi wa Harmonize na Kajala ni 'full maokoto'

    KUNA wazee waliimba, mapenzi yamegawanyika katika sehemu kuu mbili. Sehemu ya kwanza ni faraja, vicheko pamoja na furaha utadhani dunia hii ndugu yote ni yako. Sehemu ya pili ni kasheshe, ugomvi...

  5. TUONGEE KISHKAJI: Sio dhambi msanii kufanya kazi nzuri na kuokota maokoto

    MTAANI kuna msemo watu huutumia pindi wanapomshindanisha Diamond na Alikiba, wanasema Diamond sio msanii, ni mfanyabiashara na Alikiba ni msanii. Naelewa msemo huu umetokea wapi lakini mimi...

  6. TUONGEE KISHKAJI: Kuupotezea mnanda, mchiriku ni kujinyima fursa

    KWENYE Tamasha la Filamu la Kimataifa la Zanzibar (ZIFF) 2023, muziki ulikuwa ni sehemu ya burudani zilizokuwa zikitolewa. Kulikuwa na wasanii kadhaa waliokuwa wakitumbuiza kabla ya filamu kuanza...

  7. PRIME TUONGEE KISHKAJI: Kwanini Diamond akiiga wimbo anasemwa

    MIEZI tisa iliyopita Nandy aliachia wimbo wa Amapiano unaoitwa Mchumba. Kiitikio kwenye wimbo huo kinaimbwa; ‘Kidege kinaondokaaa! Kidege kinaondokaaa’ kikiwa kimeshawishiwa au tuseme 'inspired'...

  8. TUONGEE KISHKAJI: Watakaonipokea baada ya Mwanaspoti

    NAWAZA siku nikiondoka Mwanaspoti huko nitakapokwenda watataka uhusiano wangu na Mwanaspoti uwe vipi? Je watapenda amani kati yangu na kampuni hii iliyonielea na kunikuza kitaaluma au watataka...

  9. PRIME TUONGEE KISHKAJI: Kinachowaponza Bongofleva ni Kiswahili

    RAFIKI wa mtoto wangu alikuwa anafanyiwa sherehe ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwake 'Birthday party' nyumbani kwao, kwahiyo wazazi wengine ikabidi tuwapeleke watoto wetu kwa ajili ya kuruka...

  10. TUONGEE KISHKAJI: Wasanii wanaotisha mashindano ya vipaji huenda wapi?

    NIMEBOREKA naingia Youtube natafuta video za usaili wa Bongo Star Search ili nicheke. Ndiyo, ili nicheke najua Bongo Star Search ni shindano la kusaka vipaji vya waimbaji, lakini kipindi cha...

Previous

Page 3 of 14

Next