Bosi Mtibwa Sugar aweka mikakati mipya KITENDO cha Mtibwa Sugar kurejea Ligi Kuu Bara baada ya kushuka msimu uliopita, kimemfanya ofisa mtendaji mkuu wa kikosi hicho, Swabri Aboubakar kueleza sababu iliyochangia mafanikio hayo ni...
Tanzania Prisons, Kagera acha tuone itakuwaje! UHONDO wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo kwa mechi mbili kupigwa kwenye viwanja tofauti, huku macho na masikio yakiwa ni kutaka kujua timu gani itaungana moja kwa moja na KenGold kushuka...
Rais Bigman, Katwila waitana mezani RAIS wa Bigman FC, Ahmed Waziri Gao, amesema baada ya msimu kuisha watakaa chini na kocha wa timu hiyo, Zubery Katwila kwa lengo la kujua hatima yake katika kikosi hicho kwa msimu ujao, baada ya...
Beki Azam aingia rada za Wasauzi BEKI wa kati wa matajiri wa Dar es Salaam, Azam FC Abdallah Kheri ‘Sebo’ ameingia anga za Wasauzi baada ya kuanza kuwindwa na klabu ya Polokwane City ya Afrika Kusini kwa ajili ya kukitumikia...
PRIME Refa wa 2-0 kuamua RS Berkane V Simba SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF), limemteua mwamuzi wa kati, Pierre Ghislain Atcho kutoka Gabon kusimamia mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho kati ya wenyeji, RS Berkane ya Morocco...
Mtibwa mabingwa Championship, Cosmo yaifuata Biashara United First League MTIBWA Sugar imeibuka mabingwa wa Ligi ya Championship kwa msimu wa 2024-2025, baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kiluvya United, huku Cosmopolitan ikiungana na 'Wanajeshi wa Mpakani',...
Hukumu ya mwisho Championship LIGI ya Championship kwa msimu wa 2024-2025, inafikia tamati leo kwa mechi nane kupigwa kwenye viwanja mbalimbali, huku macho na masikio yakielekezwa katika vita ya timu zinazoshuka moja kwa moja...
Mtihani mgumu mrithi wa Ongala KMC BAADA ya KMC kuachana na Kally Ongala, timu hiyo imemrejesha aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Adam Mbwana Mubesh kukiongoza kikosi hicho hadi mwisho wa msimu, huku uongozi ukiweka wazi umempa uhuru...
KenGold yaipeleka Simba Ruvuma KENGOLD iliyoshuka mapema hadi Championship kutoka Ligi Kuu Bara iliyoicheza kwa mara ya kwanza msimu huu, imepanga kuipeleka mechi dhidi ya Simba iliyopangwa kupigwa Juni 18 Uwanja wa Majimaji...
RUPIA: Straika wa boli asiye na bahati ya penalti UNAPOTAJA washambuliaji watano bora katika Ligi Kuu Bara msimu huu, hutoacha kulitaja jina la mshambuliaji nyota wa Singida Black Stars, Mkenya Elvis Rupia kutokana na kiwango kizuri...