Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

1868 results for Charity James :

  1. Pamba Jiji yaja mjini kimkakati

    PAMBA Jiji imeshacheza mechi nne za Ligi Kuu jijini Dar es Salaam bila kuonja ushindi, ilianza kutoka suluhu na Azam FC kabla ya kunyooshwa 4-0 na Yanga, kisha ikachezea kichapo cha bao 1-0...

    PAMBA Pict
  2. Coastal Union yaanza na kiungo wa boli

    WAGOSI wa Kaya, Coastal Union wameanza usajili wa kimya kimya kwa kuibomoa Ken Gold kwa kuamua kumsajili kiungo Kiala Lassa wa timu hiyo iliyoshuka daraja, ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa...

    KIUNGO Pict
  3. Kaseja awatuliza mastaa Kagera Sugar

    KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Juma Kaseja anajua wana mechi ngumu za kumaliza msimu salama, lakini amesema amefanya kikao na wachezaji wa timu hiyo kuwatuliza na kuwataka wacheze kiufundi na kuweka...

    KWARAA Pict
  4. PRIME Mwamuzi mechi ya Simba, Mashujaa FC achunguzwa

    MWENYEKITI wa Kamati ya Waamuzi Tanzania, Nassor Hamduni amesema kwa mujibu wa kanuni za Chama cha Waamuzi Tanzania (FRAT), hairuhusiwi mwamuzi kuwa mwanachama wa klabu na kama ikibainika...

  5. PRIME Aucho akoleza mzuka Yanga

    KIKOSI cha Yanga kimesharejea jijini Dar es Salaam kikitokea Pemba, Zanzibar kilipoenda kushiriki michuano ya Kombe la Muungano na kuibuka mabingwa kwa kuifunga JKU kwa bao 1-0, huku kiungo wa...

    AUCHO Pict
  6. PRIME Sababu tatu zilizoiangusha Yanga CAS

    MABOSI wa Yanga inaelezwa jana waliitana na kujifungia ili kujadili hukumu ya kesi waliyoifungua Mahakama wa Kimataifa ya Usuluhishi ya Michezo (CAS), iliyotupiliwa mbali, huku zikitajwa sababu...

    SABABU Pict
  7. PRIME Usajili CAF… Bada, Sure Boy wapishana Yanga

    KITAKWIMU ni rasmi kwamba Yanga imeshafuzu Ligi ya Mabingwa msimu ujao ikiwa imesaliwa na mechi kadhaa mkononi.

    BADA Pict
  8. PRIME Mastaa wanne wapishana Yanga

    KITAKWIMU ni rasmi kuwa, Yanga imeshafuzu Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao ikiwa imesaliwa na mechi nne mkononi.

  9. Nyota Tabora United amzimia Mpanzu

    BEKI wa zamani wa Polisi Tanzania na Yanga anayekipiga kwa sasa Tabora United, Yassin Mustafa amemtaja Elie Mpanzu, ndiye winga hatari zaidi katika Ligi Kuu Bara na ni Luis Miquissone mpya wa...

  10. Chirwa bado haamini kilichomkuta Ligi Kuu msimu huu

    MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Obrey Chirwa bado haamini alichokutana nacho msimu huu wa Ligi Kuu Bara akisema ni mgumu kwake kutokana na kucheza timu mbili ngumu tofauti na zote kuwa katika...

Previous

Page 3 of 187

Next