Saliba awapa mzuka Arsenal BEKI wa boli, William Saliba amewapa mashabiki wa Arsenal matumaini makubwa baada ya kufunguka yupo kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya kwenye timu hiyo ili aendelezea mapambano ya kusaka...
Jurgen Klopp anarudi uwanjani KOCHA wa zamani wa Liverpool, Jurgen Klopp inadaiwa anafikiria kurejea katika kazi yake hiyo ikiwa ni mwaka mmoja tu tangu alipoondoka Anfield mwishoni mwa msimu wa 2023/24.
Liverpool kwa Alexander-Arnold njia ni hii MCHEZAJI wa zamani wa Liverpool, Stephen Warnock anaamini bado kuna nafasi Trent Alexander-Arnold akaendelea kubaki Anfield msimu ujao.
Mastaa hawa 13 wapambania maisha LIGI Kuu England imebakiza mechi tisa tu huku kukiwa na orodha ya mastaa kibao wanaopambania maisha yao kujua hatima yao kwa msimu ujao.
Mlinzi wa Messi apigwa stop! MLINZI wa supastaa Lionel Messi, Yassine Chueko amepigwa marufuku kukaa pembezoni mwa uwanja huko MLS.
PRIME Kocha Yanga amshtukia Ikangalombo YANGA inacheza na Songea United Jumamosi hii saa 10 jioni kwenye mechi ya FA. Lakini Kocha Hamdi Miloud kuna kitu amekiona kwa winga Mkongomani aliyesajiliwa dirisha dogo, Jonathan Ikangalombo...
Madrid yamkataza Trent kutumia gari lake REAL Madrid imemkataza Trent Alexander-Arnold kupeleka Hispania gari yake ya kifahari baada ya kujiunga na timu hiyo akitokea Liverpool.
Duh! Sikia hii ya Balotelli MAISHA yanakwenda kasi sana. Ndiyo hivyo, straika Mario Balotelli yupo kwenye hatua za mwisho za kujiunga na timu ya Daraja la Tatu huko Hispania.
Arsenal mzuka, bei ya Sesko yashuka ARSENAL imepata mzuka kwenye mchakamchaka wa kumfukuzia straika Benjamin Sesko baada ya klabu ya RB Leipzig kuripotiwa kushusha bei.
Liverpool yahamia kwa Osimhen LIVERPOOL imemwongeza Victor Osimhen kwenye orodha ya mastraika inaowasaka kwa ajili ya kuwaongeza kwenye kikosi msimu huu sambamba na Alexander Isak na Hugo Ekitike.