Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9684 results for Mwandishi :

  1. Kisa Isak, mastraika kibao wawindwa

    NEWCASTLE United imeweka ubaoni orodha ya mastraika matata ili kujiandaa endapo kama Alexander Isak ataamua kuondoka, licha ya kwamba hawana mpango wa kumuuza fowadi huyo wa kimataifa wa Sweden.

    Isak Pict
  2. Amorim amvulia kofia Fernandes

    KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amemsifu Bruno Fernandes na kusema ni mtu spesho kabisa baada ya nahodha huyo wa Mashetani Wekundu kuiongoza miamba hiyo kupata ushindi mnono wa wa 3-0...

  3. Tumbishie? James anasema yeye ni bora kuliko Zidane, Modric

    WANASEMA hivi, kama husifiwi, jisifu mwenyewe. Ndicho unachoweza kusema baada ya James Rodriguez kudai kwamba yeye ni mchezaji bora kuzidi Zinedine Zidane.

  4. Newcastle: Mtupishe Isak, Bruno hawauzwi

    MABOSI wa Newcastle United wamezipiga onyo kali klabu za Liverpool, Arsenal na Manchester City kuacha kuwasumbua kwa sababu mastaa wao Alexander Isak na Bruno Guimaraes hawauzwi.

  5. Salah aambiwa baki Liverpool

    SUPASTAA wa Liverpool, Mohamed Salah ametakiwa kutoshawishika na ofa za klabu za Saudi Arabia, badala yake abaki Liverpool atengeneze hadhi na heshima hata kama atashinda mataji ya Ligi Kuu...

    New Content Item (2)
  6. Haya Arteta apigwa kombora

    NAHODHA wa zamani wa Arsenal, William Gallas amemtolea uvivu kocha wa sasa wa miamba hiyo ya Emirates, Mikel Arteta kwamba Mhispaniola huyo si kocha wa viwango vya juu.

  7. Mwakinyo ashikiliwa kituo cha Polisi Tanga, sababu yatajwa

    Bondia wa ngumi za kulipwa nchini na bingwa wa mkanda wa WBO Afrika katika uzani wa middle, Hassan Mwakinyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga akituhumiwa kumshambulia mtu anayedaiwa...

  8. Mrithi wa Edu kuleta mavitu ya Atletico Madrid

    HATIMAYE baada ya mchakato wa muda mrefu wa kumsaka mrithi wa nafasi ukurugenzi wa michezo wa klabu ya Arsenal, iliyokuwa ikishikiliwa na Edu, sasa amepatikana.

    MRITHI Pict
  9. Liverpool wanauliza, bado ngapi?

    HESABU za ubingwa kwa Majogoo wa Jiji la Liverpool zinatoa matumaini katika kutwaa taji la Ligi Kuu England msimu huu baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Southampton juzi Jumamosi.

    LIVERPOOL Pict
  10. Palmer atetewa kukosa penalti

    KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amemtetea staa wake Cole Palmer kwa kukosa penalti dhidi ya Leicester City akidai kwamba kiungo huyo mshambuliaji aliumwa kabla ya mechi.

Previous

Page 193 of 969

Next