New Trafford... Bosi afichua shida ilipo MANCHESTER United inafikiria mambo mawili katika vita yao ya kupata kipande cha ardhi kinachodaiwa ndicho kinachochelewesha kuanza kwa ujenzi wa uwanja mpya wa Pauni 2 bilioni.
Lookman acharuka, agomea kuondoka Atalanta MCHEZAJI Mnigeria, Ademola Lookman amewashambulia kwa maneno makali mabosi wa Atalanta baada ya kuzuia uhamisho wake wa Pauni 39 milioni kwenda kujiunga na Inter Milan.
Amorim ataka kumrudisha Sancho, Garnacho KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amethibitisha kuwa yuko tayari kuwarudisha wachezaji waliopewa ruhusa ya kuondoka katika dirisha ikiwa itashindikana kuuzwa katika dirisha hili la majira...
Arteta asema bado anasajili KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema kikosi chake bado finyu na hakina viwango vya kutosha hivyo ataendelea kufanya usajili mkubwa kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi.
Arsenal ni vyuma tu ARSENAL bado inapambana kuboresha fowadi yake, ambapo kinachoelezwa ni kwamba kuna wachezaji watatu inawafukuzia kunasa saini zao kabla ya dirisha kufungwa.
Everton yapewa masharti magumu kusajili Grealish INAELEZWA Everton ipo tayari kumsajili mshambuliaji wa Manchester City, Jack Grealish lakini inakumbana na masharti magumu ambayo huenda yakasababisha iachane na mpango huo.
Al-Hilal yafanya kufuru kwa Nunez STAA wa Liverpool, Darwin Nunez imeripotiwa atapata mshahara marafudu iwapo atakamilisha uhamisho wake kwenda kwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Saudi Arabia, Al-Hilal.
Straika Algeria auota ubingwa CHAN 2024 MSHAMBULIAJI nyota wa Algeria, Aimen Mahious, ameweka wazi dhamira yake ya kuiongoza timu yake kutwaa ubingwa wa CHAN 2024, akisisitiza kuwa huu ndio wakati wao wa kutimiza ndoto hiyo.
Ibenge aanza kuona mwanga Azam FC KOCHA wa Azam FC, Florent Ibenge, ameonyesha imani na kuvutiwa na kiwango cha nyota wa timu hiyo kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, Kombe la FA na mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Harry Kane ashajua siku ya kubeba kombe Kane alianzishwa kwenye fowadi ya Bayern Munich wakati ilipotokea nyuma kushinda 3-1 dhidi ya VfB Stuttgart kwenye mikikimikiki ya Bundesliga, Ijumaa iliyopita.