Diamond Platnumz ni dege la Stealth la Bongo Flava KATIKA wimbo wake mpya wa African Soldier, msanii kutoka Nigeria, Patoranking amewataja nyota wawili wa Tanzania, Ali Kiba na Diamond Platnumz kama wanajeshi.
Mastaa wenye takwimu za kibabe Ligi Kuu England LIGI Kuu England imefikia patamu kwelikweli. Arsenal inapambana kulinda pengo lake la pointi saba kileleni kwenye msimamo wa ligi hiyo dhidi ya Manchester City kwenye nafasi ya pili. Lakini...
Wanasakwa wakavae buti za Rashford Man United KINACHOONEKANA ni kama vile Marcus Rashford ameshacheza mechi yake ya mwisho kwenye kikosi cha Manchester United baada ya kuwa na msimu mzuri akiwa kwa mkopo huko Barcelona.
Leon Goretzka mambo yameiva Arsenal Arsenal inaongoza katika vita ya kumsajili kiungo wa kimataifa wa Ujerumani, Leon Goretzka, 31, kutoka FC Bayern Munich.
PRIME Ratiba na miundombinu ni kansa ya ligi yetu Ligi Kuu ya Tanzania inashika namba sita barani Afrika kwa ubora.
Yona Amosi alivyoitikisa miamba ya Kariakoo Kipa wa Pamba Jiji, Yona Amosi ni miongoni mwa walinda milango bora kwa sasa katika Ligi Kuu Bara akionesha mwendelezo wa makali yake anapokuwa kwenye milingoti mitatu, kiwango kilichozishawishi...
Bernardo Silva ni bure, kigogo Saudia atajwa KIUNGO wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Manchester City, Bernardo Silva, mwenye umri wa miaka 31, anatarajiwa kuondoka katika viunga vya Etihad wisho wa msimu ambapo mkataba wake unatarajiwa...
Ratiba ngumu ya Mayweather yaahirisha pambano na Mike Tyson PAMBANO la Floyd Mayweather Jr na Mike Tyson lililotarajiwa kufanyika mapema mwaka huu inadaiwa kuahirishwa kutokana na ratiba ngumu ya Mayweather kwa mwaka huu.
Guardiola alia na ratiba EPL KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola ameikosoa vikali ratiba ya soka nchini England, akidai mashindano ya vikombe vya ndani yanaonekana kupewa kipaumbele zaidi kuliko ratiba za michuano ya...
Kuhusu Madrid, Klopp ukweli ni huu MUSTAKABALI wa Kocha Jurgen Klopp kwa mara nyingine umeanza kuzua mjadala mkubwa baada ya ripoti mbalimbali kudai anafikiria kurejea tena kwenye benchi la ufundi baada ya kupewa ofa ya ajira na...