Real Madrid yapiga kimya ishu ya Trent kuondoka BEKI wa kulia wa kimataifa wa England, Trent Alexander-Arnold, 27, hajaambiwa aondoke Real Madrid, licha ya taarifa kutoka Hispania kudai kuwa kocha mpya Alvaro Arbeloa amemtaka atafute timu...
Maxey atinga top 5 mastaa wanaowania MVP 2025/26 MLINZI nyota wa Philadelphia 76ers, Tyrese Maxey amecheza kwa kiwango bora msimu mzima na wiki hii ameingia katika kinyang'anyiro cha mastaa watano wanaowania ile nafasi ya mchezaji bora (MVP) wa...
Arsenal Vs Man United… Mechi ya ufundi wa dakika 90 MICHAEL Carrick alianza kazi yake kwa changamoto kubwa alipokutana na Manchester City katika mchezo wake wa kwanza.
Timu zenye uwezo wa kushinda mataji zaidi ya matatu msimu huu wa 2025/26 REAL Madrid, Paris Saint-Germain na Liverpool ni miongoni mwa vigogo wa soka barani Ulaya ambao hawataweza kushinda mataji matatu (treble) au manne (quadruple) ya kihistoria msimu huu, baada ya...
Wasaudia wajiapiza kwa Salah, Vinicius Jr MABOSI wa Ligi Kuu Saudi Arabia wamewaweka Mohamed Salah, 33, wa Liverpool na Vinicius Jr, 25 wa Real Madrid katika orodha ya mastaa inaotaka kuwasajili dirisha lijalo la majira ya kiangazi ikiwa...
Kina Haaland warudisha pesa za mashabiki MASTAAA wa Manchester City wamekubaliana watalipa gharama za tiketi kwa mashabiki 374 waliosafiri hadi Norway kushuhudia kipigo cha kushangaza cha mabao 3-1 kutoka kwa Bodoe/Glimt kwenye Ligi ya...
Cole Palmer ampa hofu gwiji wa Chelsea ALIYEKUWA beki kisiki wa Chelsea, Marcel Desailly anaamini kiungo Cole Palmer anaweza kuwasilisha ombi la kuondoka endapo hataona dalili yoyote ya kwamba timu hiyo inaweza kutwaa ubingwa wa Ligi...
Mabosi Saudi Arabia hawajamkatia tamaa Mo Salah MABOSI wenye ushawishi mkubwa katika soka la Saudi Arabia wanaendelea kuamini kwa kiwango kikubwa Mohamed Salah ataondoka Liverpool katika dirisha la usajili la majira ya joto.