Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8500 results for Mwandishi Wetu :

  1. SINDELAR: Aliyewadhalilisha manazi huko Austria ndani, nje ya uwanjani

    KATI ya miaka ya 1950 na 1970 miongoni mwa majina ya wachezaji wa kandanda yaliyopendwa na mashabiki wa mchezo huo hapa nchini Tanzania lilikuwa la Mathias. Hii ilitokana na kuwepo wachezaji...

  2. Drogba atoa kauli nzito sakata la AFCON 2025

    Mshambuliaji wa zamani wa Timu Ya Taifa ya Ivory Coast, Didier Drogba, ameonyesha kusikitishwa na uamuzi wa CAF kuwavua ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco kitendo alichotaja kinaathiri...

  3. Mane alia na maamuzi ya CAF akiitaja rushwa

    Mshambuliaji wa Senegal, Sadio Mané, ameonyesha kusikitishwa na uamuzi wa CAF kuwavua ubingwa wa AFCON 2025 na kuwapa Morocco kitendo alichotaja kinaua soka la Afrika huku akidai rushwa imetawala...

  4. CAF yaipunguzia Morocco adhabu matukio fainali za AFCON 2025

    MOROCCO imetangazwa kuwa bingwa wa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 baada ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (Caf) kubatilisha matokeo ya kipigo chao kwenye fainali dhidi ya...

  5. Evra aishangaa CAF, asema imeshusha heshima ya soka la Afrika

    Gwiji wa soka wa Ufaransa mwenye asili ya Senegal, Patrice Evra, amemwaga povu zito kufuatia uamuzi wa CAF wa kuivua Senegal ubingwa wa AFCON 2025 na kuipatia Morocco.

  6. Dar City yaahidi makubwa BAL

    DAR City ikiwa katika maandalizi kwa ajili ya Ligi ya Kikapu Africa (BAL) 2026, meneja wa timu hiyo, Simon Joe amesema wanajipanga kufanya makubwa katika mashindano hayo wakilenga kutoa ushindani...

  7. Kai Rooney aanzia alipoishia baba'ke

    KINDA wa Manchester United, Kai Rooney anatarajiwa kuanza kupokea hadi Pauni 3 milioni baada ya kusaini mkataba mpya na kampuni ya Triple S Sports Management wiki hii utakaomwongezea thamani...

  8. Senegal yapokea maamuzi ya CAF, yapinga, yapanga kwenda CAS

    Shirikisho la Soka la Senegal (FSF) limethibitisha kupokea uamuzi uliotolewa na Kamati ya Rufaa ya CAF kuhusu kupokwa ubingwa wa Kombe la Mataifa la Afrika 2025

  9. Dogo Bayern kuandika historia Ulaya

    LEONARD Prescott anatarajiwa kuandika historia atakaposimama langoni leo, Bayern Munich itakapoikaribisha Atalanta kwenye Uwanja wa Allianz Arena, Ujerumani kuanzia saa 5:00 usiku.

  10. Bundi bado ainyemelea Chelsea

    CHELESEA inatarajiwa kukabiliana na adhabu zaidi kutoka mamlaka za soka za England kutokana na uchunguzi unaofanywa na chama cha Soka England (FA).

Previous

Page 171 of 850

Next