Steven Gerrard: Declan Rice na Jude Bellingham ndio viungo bora kwa sasa Gwiji wa Liverpool, Steven Gerrard, amewataja Declan Rice wa Arsenal na Jude Bellingham wa Real Madrid kama viungo wawili bora wa Kiingereza kwa sasa katika soka la dunia.
Hatma ya Rashford, Barcelona yafanya uamuzi BARCELONA imeshafanya uamuzi wao juu ya hatma ya mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford anayecheza kwa mkopo katika kikosi chao.
Shearer: Isak? Kule kuna yule Ekitike GWIJI Alan Shearer amemuonya Alexander Isak kwamba hatakuwa na uhakika wa kuanzishwa huko Liverpool baada ya Hugo Ekitike kuanza vyema kabisa maisha yake kwenye kikosi hicho cha Anfield.
Rundo la wachezaji lamchosha Pep Guardiola KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola alikiri idadi kubwa ya wachezaji katika kikosi chake siyo salama kwa morali ya timu na kudai baadhi ya wachezaji wataondoka kabla ya dirisha hili kufungwa.
Kisa semenyo, mmoja akamatwa POLISI katika Jiji la Liverpool, wamethibitisha mwanamume mmoja amekamatwa baada ya Antoine Semenyo kuripoti ubaguzi aliokutana nao wakati timu yake ikicheza dhidi ya Liverpool, kwenye dimba la...
William Saliba, Real Madrid ndo basi tena REAL Madrid inadaiwa kukwama katika mpango wao wa kutaka kumsajili beki kisiki wa Arsenal William Saliba baada ya ofa yao ya kutaka kufanya mabadilishano ya wachezaji kukataliwa na klabu yake.
Abidal aibuka kudai hajafa BEKI wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya Ufaransa, Eric Abidal amelazimika kutoka hadharani kukanusha taarifa zinazozagaa mitandaoni kwamba amefariki dunia.
Arteta achekea sub zake Arsenal KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema kwa msisitizo kwamba Gabriel Martinelli na Leandro Trossard watalazimika kuzoea maisha ya kuanzia benchini na kuingia uwanjani kama “super subs” kuliko...
Vinicius? Lolote linaweza kutokea STAA wa Real Madrid, Vinicius Junior anaweza kuamua kuachana na timu hiyo kama mahitaji ya mshahara anaotaa ili asaini mkataba mpya hayatatekelezwa.
Ahmed Ally awatuliza presha mashabiki Simba Baada ya kusambaa kwa taarifa zinazomuhusu kocha wa Simba, Fadlu Davis kuondoka klabuni hapo pamoja na benchi lake la ufundi akisalia Kocha Msaidizi pekee, Selemani matola, Meneja wa Habari na...