Wema: Sina bifu na Zari BAADA ya kuzuka majibizano ya kwenye mitandao ya kijamii baina ya Wema Sepetu na Zari ‘The Boss Lady’ Hassan, staa huyo kutoka katika kiwanda cha Bongo Movies, amesema yeye hana tatizo na mtu.
Mayele ana jambo lake, Simba nao wapo SIMBA bado ina kidonda cha kufungwa mabao 2-1 na Yanga katika mchezo wa Ngao ya Jamii, Agosti 13 lakini kana kwamba haitoshi, mabao mawili ya mshambuliaji Fiston Mayele kwenye mechi hiyo...
Buti la Burna Boy lazua balaa Eee bwana mtu wangu wa nguvu moja kati ya story inayoendelea kuleta gumzo katika mitandao ya kijamii ni ya buti alilovaa msanii kutokea Nigeria Burna Boy kwenye show yake siku ya Ijumaa huko...
Job afunika Yanga KUNA beki Yanga kwa kuangalia kimo chake ni rahisi kusema hafai kucheza nafasi ya beki wa kati lakini makocha Wazungu wamekuwa wakikomaa naye na sasa ameshtua kwa rekodi ya maana.
Stamina, Twanga Pepeta wote kunogesha tamasha la biriani BENDI ya African Stars 'Twanga Pepeta' na nyota wa miondoko ya taarabu nchini, Isha Mashauzi 'Jike la Simba' wanatarajiwa kulipamba tamasha la biriani litakalofanyika kesho Jumamosi kwenye...
Bodi Ligi Kuu yaonya upangaji matokeo Bodi ya Ligi Kuu imetengaza mechi zote za mwisho kumalizia msimu Juni 9 zitachezwa saa 9:30 alasiri badala ya saa 10:00 jioni. Katika taarifa waliyotoa Bodi ya Ligi wamesema mechi zote zitapigwa...
Simbu ashindwa kumaliza mbio mashindano ya dunia Wakati Mganda, Victor Kiplangat akitwaa dhahabu, Alphonce Simbu ameshindwa kumaliza mbio ya marathoni kwenye mashindano ya dunia yanayofungwa leo nchini Hungary. Katika mbio hiyo ya wanaume...
Rais Samia aongeze dau Simba, Yanga kufuzu nusu fainali CAF Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameamua kuongeza fedha za motisha kwa timu za Simba na Yanga kutoka shilingi Milioni 5 hadi Shilingi Milioni 10 endapo timu...
Morrison, Bwalya kuikosa Kagera SIMBA ipo mjini Bukoba kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar, huku ikiwakosa nyota wake tisa, wakiwamo Bernard Morrison na Rally Bwalya ambao kwa siku za karibuni...
Harmonize, Nandy kutumbuiza Mapinduzi Cup Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Nandy na Harmonize wanatarajia kutoa burudani kwenye fainaliza za Kombe la Mapinduzi zinazotarajia kufanyika Januari 13 mwaka huu.