Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9653 results for Mwandishi :

  1. 32 wakamatwa Uturuki wakituhumiwa kupanga matokeo

    MAMLAKA za Uturuki zimewakamata maafisa 32 wa klabu 13 za soka, wakituhumiwa kwa upangaji matokeo ya mechi.

    MAAFISA Pict
  2. Neymar kustaafu hivi karibuni

    STAA wa kimataifa wa Brazil, Neymar amesema kuwa anafikiria kustaafu kucheza soka katika miezi michache ijayo.

    NEYMAR Pict
  3. Mbio za ubingwa EPL, Gary Neville aipa mbinu mpya Arsenal

    Beki na nahodha wa zamani wa Manchester United, Gary Neville, amesisitiza kuwa Arsenal lazima waibuke na ushindi dhidi ya Manchester City katika Uwanja wa Etihad iwapo wanataka kuwa mabingwa wa...

    UBINGWA Pict
  4. De Zerbi aipa sharti moja Tottenham Hotspur

    Inaelezwa kocha raia wa Italia Roberto De Zerbi yuko tayari kuchukua kazi ya kuifundisha Tottenham Hotspur kwa msimu ujao lakini kwa sharti la timu hiyo kwanza kubakia Ligi Kuu msimu huu.

    DE ZEBRI Pict
  5. Fei Toto amewaacha mbali sana wazawa

    KUNA kiumbe mmoja anawachonganisha sana wachezaji wenzake pale Azam FC. Anaitwa Feisal Salum ‘Fei Toto’.

    AKILI - FEI Pict
  6. AFCON 2027: Wizara ya Maliasili na Utalii kuzipa hadhi hoteli  za kitalii  

    IDARA ya Utalii kwa kushirikiana na Kitengo cha Mawasiliano cha Wizara ya Maliasili na Utalii, imesema inatarajia kuanza mchakato wa kupanga hadhi (Grading and regrading) kwa watoa huduma wa...

    UTALII Pict
  7. Mchujo Ukonga Kings si mchezo

    MAMBO ni moto! Kama ulidhani kwamba Ukonga Kings kumepoa, sahau. Kinachoelezwa ni kwamba utakuwapo mchujo wa kusaka vipaji kwa ajili ya kuunda kikosi kitakachoshiriki mashindano ya Ligi ya Kikapu...

  8. Saka amerudi, Havertz, Ødegaard kuiwahi Atletico

    KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta ametoa taarifa za majeruhi kuelekea mchezo wa marudiano wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Atletico Madrid, huku akiwapa matumaini mashabiki wake.

    ARSENAL Pict
  9. McTominay aambiwa ni ‘mchezaji wa kawaida’

    Kiungo wa kati wa Scott McTominay ameingia kwenye mjadala mkali baada ya kupuuzwa na gwiji wa Serie A, licha ya msimu wake mzuri akiwa na Napoli, huku akishinda tuzo na kuingia kwenye orodha ya...

    KAWAIDA Pict
  10. Rashford aikataa Man United, akubali kukatwa mshahara

    MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Marcus Rashford ameripotiwa kuwa tayari kupunguza mshahara wake ili kukamilisha usajili wake wa kujiunga moja kwa moja na maimba ya soka la Hispania, Barcelona...

    RASHFORD Pict
Previous

Page 126 of 966

Next