Gabriel azua wasiwasi mkubwa Arsenal BEKI wa kati wa Arsenal, Mbrazili, Gabriel amezua wasiwasi mkubwa kwenye timu hiyo kutokana na hali yake ya kiafya inayomfanya kocha Mikel Arteta asiwe na uhakika wa kumtumia.
Ingwe yabanwa ugenini, Sofapaka ikilala nyumbani MABINGWA wa zamani wa Kenya, AFC Leopards ikicheza ugenini imenyang'anywa tonge mdomoni jioni na Posta Rangers baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 katika mechi ya Ligi Kuu (KPL).
Amza, Ngereka waibeba Bandari Kenya NYOTA wa zamani wa Kagera Sugar, kipa Alain Ngeleka na mshambuliaji Moubarack Amza jioni hii wameibeba Bandari FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Kenya baada ya timu hiyo wanayoitumikia kwa sasa...
Matajiri Saudi Arabia waweka noti kwa Kane MATAJIRI wa Saudi Arabia kutoka timu ya Al-Hilal, wapo tayari kumpa Harry Kane pesa ndefu inayofikia Pauni 261 milioni kama mshahara wa kuwatumikia kwa miaka mitatu.
Nairobi Utd yatangulia CAF ikiwatoa Waganda Bao la dakika ya 65 kupitia Duncan Omala limeiwezesha Nairobi United kutoka sare jioni hii ikiwa nyumbani na kuwa timu ya kwanza ya Kenya kufuzu raundi ya pili ya michuano ya CAF.
Gor Mahia yazinduka, Tusker yapasuka tena Mabingwa wa zamani wa Ligi Kuu ya Kenya, Gor Mahia imezinduka jioni hii baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 ugenini dhidi ya Sofapaka, huku Tusker ikipasuka kwa mara nyingine katika ligi hiyo.
Steven Gerrard: Declan Rice na Jude Bellingham ndio viungo bora kwa sasa Gwiji wa Liverpool, Steven Gerrard, amewataja Declan Rice wa Arsenal na Jude Bellingham wa Real Madrid kama viungo wawili bora wa Kiingereza kwa sasa katika soka la dunia.
Hatma ya Rashford, Barcelona yafanya uamuzi BARCELONA imeshafanya uamuzi wao juu ya hatma ya mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford anayecheza kwa mkopo katika kikosi chao.
Shearer: Isak? Kule kuna yule Ekitike GWIJI Alan Shearer amemuonya Alexander Isak kwamba hatakuwa na uhakika wa kuanzishwa huko Liverpool baada ya Hugo Ekitike kuanza vyema kabisa maisha yake kwenye kikosi hicho cha Anfield.
Rundo la wachezaji lamchosha Pep Guardiola KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola alikiri idadi kubwa ya wachezaji katika kikosi chake siyo salama kwa morali ya timu na kudai baadhi ya wachezaji wataondoka kabla ya dirisha hili kufungwa.