Siri imevuja! Sakata la Alonso laipasua Real Madrid, wachezaji wavutana
Klabu ya Real Madrid inadaiwa kukumbwa na mgawanyiko mkubwa ndani ya chumba cha kubadilishia, huku taarifa zikidai kuna kundi la wachezaji ambao hawamtaki kocha Xabi Alonso aendelee, na wengine...