Hii ndo DR Congo ya Fiston Mayele Kombe la Dunia DR Congo ambayo ina mchezaji aliyewahi kutamba Ligi Kuu Bara, Fiston Mayele akiwa na Yanga ni moja ya timu zenye hadhi kubwa katika soka la Afrika, ikiwa na utambulisho uliojengwa kwa miongo mingi.
Kwa nini Valverde, Tchouameni walizichapa? NINI kinaendelea kwenye chumba cha wachezaji wa Real Madrid? Msimu wa Real Madrid umeendelea kuwa mbaya zaidi wiki hii baada ya taarifa za migogoro mipya ndani ya kikosi hicho, ikiwemo tukio...
Mastaa Man City, wake zao waagana na Silva, Stones NYOTA kadhaa wa sasa na wa zamani wa Manchester City pamoja na wake na wapenzi wao walionekana wakiburudika usiku manane kwenye sherehe ya kuwaaga mastaa wa kikosi hicho, Bernardo Silva na John...
Vinícius Jr aingia anga za Pep Guardiola Manchester City ni miongoni mwa klabu zinazoiwania saini ya mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil, Vinícius Junior, 25, dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Aliyesahaulika Man United afika fainali ya tatu ASTON VILLA wamefuzu fainali ya kwanza ya mashindano ya klabu Ulaya baada ya miaka 44 huku kocha Unai Emery akitarajiwa kucheza fainali ya tano ya Europa League katika maisha yake ya ukocha.
Zizou, Beckham ndani ya tangazo Kombe la Dunia 2026 ADIDAS wameingia Hollywood baada ya kuzindua tangazo la thamani ya zaidi ya Pauni 50 milioni kwa ajili ya Kombe la Dunia litakalofanyika Marekani, Canada na Mexico kuanzia Juni 11, mwaka huu.
Cristiano Ronaldo akerwa na kelele “Messi, Messi” Saudia SUPASTAA wa Al Nassr, Cristiano Ronaldo (CR7) alipata wakati mgumu kukabiliana na mashabiki walioanza kuimba jina la Lionel Messi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Saudi Arabia dhidi ya Al-Shabab, jana.
Balikwisha, Kalimuendo kuongeza nguvu DR Congo WAKATI DR Congo ikiwa na hesabu za maandalizi ya kutosha kuelekea Kombe la Dunia 2026, shirikisho la soka la nchi hiyo, FECOFA linaendelea na mkakati wa kuwavuta wachezaji wenye asili ya Congo...
Valverde azichapa na Tchouameni, akimbizwa hospitali KLABU ya Real Madrid imeingia kwenye msukosuko baada ya kiungo wao nyota, Federico Valverde, kukimbizwa hospitali kufuatia mapigano ya mara ya pili ndani ya uwanja wa mazoezi na mchezaji...
Harry Kane aifikia rekodi ya Ronaldo UEFA STAA wa Bayern Munich na England, Harry Kane ameifikia rekodi ya kipekee ya Cristiano Ronaldo katika Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kufunga katika mechi sita mfululizo za hatua ya mtoano.