Fabregas aivusha Como Ulaya, vita yaendelea Serie A na Ligi kubwa Ulaya! KOCHA Cesc Fabregas ameendelea kuandika historia mpya ndani ya soka la Italia baada ya kuiwezesha Como 1907 kufuzu kushiriki michuano ya Ulaya msimu ujao kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya...
Simba wa Teranga mguu sawa marekani BAADA ya Morocco kuweka historia ya kufika nusu fainali ya Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar, taifa jingine ambalo linaendelea kubeba matumaini Afrika kuelekea fainali za Kombe la Dunia 2026 huko...
Mambo kibao Barcelona ikitwaa ubingwa La Liga BARCELONA wametwaa ubingwa wa 29 wa Ligi Kuu Hispania (La Liga), baada ya kuwafunga wapinzani na watani wao, Real Madrid kupitia mechi ya El Clasico, iliyopigwa juzi, lakini nyuma ya pazia...
Liverpool yaitisha chelsea kwa Alonso WANAKABANA koo. Ndiyo, kila timu inataka huduma ya Xabi Alonso kwenda kufundisha vikosi vyao na kinachosubiriwa ni kuona nani mwenye kisu kikali atakayekula nyama.
Mtego! Palace ilivyoushika ubingwa wa Arsenal MWISHO wa msimu wa Ligi Kuu England umeingia katika sura nyingine tamu ambayo imeifanya Crystal Palace kujikuta kwenye mazingira magumu huku mbio za ubingwa zikibaki mikononi mwao.
Kane aipa ubingwa wa UEFA PSG MSHAMBULIAJI wa Bayern Munich, Harry Kane amesema Paris Saint-Germain ina nafasi kubwa ya kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Arsenal na anaona itakuwa mechi yenye ushindani mkubwa.
West Ham yalia na VAR UONGOZI wa West Ham United unatarajiwa kuwasiliana rasmi na bodi ya waamuzi England, PGMO, kuomba maelezo kutokana na uamuzi wa VAR kufuta bao lao la dakika za mwisho dhidi ya Arsenal, Jumapili...
Rooney ataka kocha mpya atajwe haraka NYOTA wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney amewataka mabosi wa timu hiyo kufanya maamuzi ya haraka kuhusu kocha mkuu wa kudumu kabla ya dirisha la usajili wa majira ya kiangazi halijaanza...
PRIME Bao safi la Chama lilivyoficha uchafu wa watani WASWAHILI husema umaridadi huficha umasikini. Ukiwa nadhifu yaani unavaa vizuri watu hawatajua dhiki uliyoibeba nafsini mwako.