Mashabiki wasusia gemu ya Chelsea CHELSEA imetupa kete ya kwanza kwenye fainali za Kombe la Dunia la Klabu huko Marekani dhidi ya Los Angeles FC usiku wa Jumatatu ikicheza kwenye uwanja wenye siti tupu kibao huko Atlanta.
Mkali wa Black Panther kuja kufundisha kuogelea KOCHA maarufu wa mchezo wa kuogelea duniani, Atiba Hasim-Nii Wade kutoka Marekani anatarajiwa kutua nchini ili kuendesha mafunzo ya mchezo huo kuanzia Juni 27 hadi Julai Mosi.
Spurs yainyatia Chelsea kwa Simons KITENDO cha Chelsea kuchelewa kukamilisha usajili wa kiungo wa RB Leipzig, Xavi Simons kunaweza kufungua fursa kwa Tottenham kuingilia dili hilo na kufanya uhamisho wa dakika za mwisho.
Garnacho: Kama sio Chelsea, sichezi ALEJANDRO Garnacho ametuma ujumbe mzito huko Manchester United juu ya hatima yake kwenye mchezo wa soka.
Vurugu za usajili wakati dirisha likifungwa Ulaya LONDON, ENGLAND: DIRISHA la usajili wa majira ya kiangazi huko Ulaya limefungwa rasmi, ambapo klabu mbalimbali hasa za Ligi Kuu England zilikuwa bize kwelikweli kusajili mastaa wapya kwenye...
Isak afunguka kutua Anfield STRAIKA Alexander Isak amesema isingekuwa rahisi kukomea nafasi ya kujiunga na Liverpool kwa ada inayovunja rekodi ya uhamisho England huku akitambua hilo limefikisha mwisho wasiwasi uliokuwa...
Mo Salah: Ekitike? Bado hatujawezana SUPASTAA wa Liverpool, Mohamed Salah amekiri kwamba bado hajaelewana vyema na mshambuliaji mwenzake kwenye kikosi hicho, Hugo Ekitike.
CHAN 2024: Sudan inaitaka nusu, wachekelea sapoti Zanzibar KOCHA wa timu ya taifa la Sudan, Kwesi Appiah amesema wako tayari kwa robo fainali ya CHAN 2024 watakapokutana na Algeria ambao ni wanafainali za mwaka 2022.
DR Congo yaiong'oa Angola CHAN 2024 KIPIGO cha mabao 2-0 kutoka kwa DR Congo katika pambano la Kundi A la michuano ya CHAN 2024 umeing'oa Angola katika michuano hiyo ikiungana na Nigeria, Afrika ya Kati na Zambia.
Partey mahakamani wiki ijayo KIUNGO wa Villlarreal na timu ya taifa ya Ghana, Thomas Partey anatakiwa kufika mahakamani kwa mashtaka ya ubakaji Septemba 15, siku moja kabla ya mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya...