Inter Milan yatwaa ubingwa wa Copa Italia Ikiwa zimepita siku chache baada ya kutangazwa kuwa mabingwa wa Ligi Kuu ya Italia ‘Seria A’, Klabu ya Inter Milan imeendelea kufanya kweli safari hii ikitwaa Kombe la Copa Italia baada ya...
PSG yatwaa ubingwa wa tano ‘back to back’ Ligue 1 Paris Saint-Germain imefanikiwa kutwaa ubingwa wa tano mfululizo wa Ligi Kuu ya Ufaransa, Ligue 1 baada ya kuichapa Lens mabao 2-0.
Neymar ndani ya Brazil, Gyokeres Sweden HATIMAYE Neymar Jr amejumuishwa katika kikosi cha timu ya taifacha mastaa 55, huku nchi mbalimbali zikianza kutangaza vikosi vya awali kwa ajili ya Kombe la Dunia 2026, wakati mastraika wa...
PRIME Tuzo za BMT haziwezi kumuona Fred Minziro MOJAWAPO wa madhumuni ya kuanzishwa kwa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ni kuenzi wanamichezo wanaofanya vizuri katika maeneo yao kila mwaka ili kuchochea maendeleo ya mchezo husika.
PSG yampigia hesabu Julian Alvarez PARIS Saint-Germain inataka kumsajili mshambuliaji wa Atletico Madrid na timu ya taifa ya Argentina, Julian Alvarez, 26, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Kifo cha Brandon Clarke chazua utata Marekani KIFO cha mchezaji wa zamani wa kikapu wa timu Memphis Grizzlies, Brandon Clarke kimeishtua dunia alipotangazwa juzi, Jumanne kufariki dunia, huku taarifa zaidi na uvumi ukiendelea kuibuka kuhusu...
Messi Marekani kama CR 7 Saudia NAHODHA wa Inter Miami ya Ligi Kuu Marekani (MLS), Lionel Messi ameendelea kuwa mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi kwa mwaka wa tatu mfululizo baada ya kupata ongezeko kubwa la kipato...
Man United yamvutia kasi Valverde kumrithi Casemiro MANCHESTER United inaripotiwa kuangalia uwezekano wa kufanya uhamisho wa kushangaza wa kiungo wa Real Madrid, Federico Valverde, ambaye anaonekana kuwekwa kando katika kikosi hicho cha Hispania...
VAR yachochea vita ya ubingwa Ligi Kuu England MAMBO ni mengi, lakini muda mchache! Ndivyo unavyoweza kusema kuhusiana na Ligi Kuu England ambayo kimsingi imebakiza mechi mbili kumalizika, huku kukiwa na maeneo matatu yenye vita kali kwa...
Ronaldo atoa kauli baada ya ubingwa kutoweka “Ndoto iko karibu kutimia. Tuinue vichwa kwa imani, bado kuna hatua moja ya mwisho! Asanteni wote kwa sapoti kubwa usiku wa leo!” Kauli hii ya Cristiano Ronaldo imeibua hisia kali miongoni mwa...