Xavi apewa mikoba Uholanzi Gwiji wa zamani wa Barcelona, Xavi Hernandez, amekubali kurejea kwenye ukocha baada ya kufikia makubaliano ya kuwa kocha mpya wa timu ya taifa ya Uholanzi.
Vinicius JR onyesha kidevu chake Vinicius Jr amecheza mechi yake ya kwanza kwa Real Madrid katika maandalizi ya msimu mpya, ikiwa pia ni mara yake ya kwanza kuonekana uwanjani tangu kufanyiwa upasuaji wa kurekebisha umbo la kidevu.
Celtic yamsajili nyota aliyetesa Argentina Kombe la Dunia 2026 Celtic imemsajili winga wa Real Oviedo, Haissem Hassan, aliyeng'ara katika mchezo dhidi ya Argentina na kuisaidia Misri kusogea karibu na kuiondoa timu hiyo iliyokuwa ikiongozwa na Lionel Messi...
Mkwe Trump kuinunua Los Angeles Lakers KLABU ya Los Angeles Lakers inatarajiwa kuuzwa kwa thamani ya dola bilioni 12.5, ikivunja rekodi ya dunia.
Kisa Enzo: Chelsea yaitega Man City CHELSEA imeipa Manchester City hadi saa 11:00 kesho Ijumaa jioni kukamilisha dili la kumsajili kiungo Enzo Fernandez kwa ada ya pauni 120 milioni.
Msomalia aweka historia, PSG yateteza taji MWAMUZI Msomalia, Omar Artan ameandika historia kwa kuwa mwamuzi wa kwanza kutoka Afrika kuchezesha UEFA Super Cup ambayo Paris Saint-Germain (PSG) imetetea taji la UEFA Super Cup baada ya...
KISIWA CHA MAUTI - 17 pale, lakini sikupata maelezo yoyote.” Mrakibu akajidai kucheka. “Ndiyo, umeachiwa hivyo. Kama bado ungekuwa mtuhumiwa, ungekuwa mahabusi.” “Ilitakiwa nielezwe kama nimeachiwa na ikiwezekana...
Kangwanda afichua siri ya bao la ushindi dhidi ya Simba KIUNGO mshambuliaji wa Yanga SC, Albert Kangwanda, amefichua siri ya bao lake lililoipa timu hiyo ushindi wa 1-0 dhidi ya Simba katika mchezo wa Ngao ya Jamii, akisema maagizo ya kocha ndiyo...
PRIME BADO MBILI LIGI KUU! BILA shaka ulishuhudia ushindani wa Yanga na Simba katika mechi ya Ngao ya Jamii, iliyoashiria kufunguliwa kwa msimu wa mashindano yanayosimamiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)...
Napoli yaichokonoa Chelsea ikimtaka Benoit Badiashile NAPOLI imeanza mazungumzo ya kumsajili beki wa kati wa Chelsea, Benoit Badiashile, ambapo mazungumzo yanaendelea kati ya klabu hizo pamoja na wawakilishi wa mchezaji huyo, huku pande zote...