Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Afrika Kusini na historia mbaya Kombe la Dunia

Muktasari:

  • Rekodi hiyo ni ya kupata kadi nyekundu katika mechi ya ufunguzi ya Kombe la Dunia ambayo mara ya mwisho iliwekwa mwaka 1994.

Kadi nyekundu za kiungo Yaya Sithole na mshambuliaji Themba Zwane katika mechi ya ufunguzi dhidi ya Mexico, imemfanya aingie katika rekodi ambayo haikufikiwa kwa miaka 32.

Rekodi hiyo ni ya kupata kadi nyekundu katika mechi ya ufunguzi ya Kombe la Dunia ambayo mara ya mwisho iliwekwa mwaka 1994.

Sithole ameonyeshwa kadi nyekundu katika dakika ya 49 baada ya kumfanyia faulo mchezaji wa Mexico aliyekuwa anaelekea langoni mwake.

Themba Zwane ameonyeshwa kadi nyekundu katika dakika ya 84 baada ya kumpiga kiwiko mchezaji mwingine wa Mexico.

Kabla za Sithole na Zwane, mchezaji wa mwisho kupata kadi nyekundu katika mechi ya ufunguzi wa Kombe la Dunia alikuwa ni Etcheverry Marco wa Bolivia.

Etcheverry alionyeshwa kadi nyekundu katika mechi ya ufunguzi baina ya Ujerumani na Bolivia.

Katika mechi hiyo, Ujerumani ilipata ushindi wa bao 1-0.