Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

166 results for Aisha Mbuma :

  1. Azam FC yaendelea kusainisha majembe

    KLABU ya Azam FC imeendelea kusainisha majembe mapya kwa msimu ujao wa Ligi Kuu na michuano mingine ikiwamo ya kimataifa, sambamba na kuwaongezea mikataba nyota waliokuwepo kwenye kikosi...

  2. Sawadogo hakuwa na maisha marefu Simba

    Kama kuna kitu mashabiki wa Simba mitandaonj wanaulizia ni Thank You ya kiungo mkabaji Ismael Sawadogo, na sababu kubwa ni kiwango kidogo alichokionyesha kiungo huyo. Maisha ya kiungo huyo...

  3. JKT yanasa saini ya kiungo Simba

    Zilikuwa ni fununu za kiungo Mshambuliaji wa SImba Hassan Dilunga kuhusishwa kwenye usajili wa msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na JKT Tanzania Simba ilikuwa kwenye mpango wa kumsainisha mkataba wa...

  4. Mtibwa yatinga fainali kutetea ubingwa dhidi ya Geita Gold

    Mtibwa Sugur wameingia fainali kwa mara ya tano mfululizo timu ya Vijana chini ya miaka 20 ikiichapa Azam mabao 2-0 katika uwanja wa Azam Complex Chamazi, mabao mawili ya Mtibwa yalifungwa na...

  5. Team Job yawapa tabasamu wenye uhitaji ikiifunga Team Kibwana

    Ni mechi ya mabeki wawili wa Yanga Dickson Job 'Team Job' na Kibwana Shomari 'Team Kibwana' ikiwaunganisha mastaa na wadau wa soka nchini kucheza pamoja iliyomalizika kwa mikwaju ya penali 2-4...

  6. Dili la Nabi Kaizer apewa Ntseki

    Klabu ya aizer Chiefs ya Afrika Kusini imemtangaza Molefi Ntseki kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo na kuchukua mikoba ya Arthur Zwane. Molefi Ntseki alikuwa kwenye Meneja wa Akademi ya timu ya...

  7. PRIME Aliyempiga kocha Mbeya City afungiwa msimu mmoja

    KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu imemfungia kocha wa magolikipa wa Mashujaa FC, Shomari Ndizi msimu mzima wa 2023/24 kushiriki michezo yote iliyo chini ya...

  8. Kiungo mshambuliaji Raja Casablanca atua Azam

    Azam FC imeanza kushusha vifaa kwa ajili ya msimu ujao baada ya kupitisha fagio la wachezaji ambao hawataendelea nao. Leo Azam imeanza kwa kutambulisha mshambuliaji aliyenunuliwa kutoka klabu ya...

  9. PRIME Dili la Nabi Sauzi lavamiwa

    KAMA dili la aliyekuwa kocha wa Yanga Nasreddine Nabi na Kaizer Chiefs halitatimia, inaonekana kuwa timu hiyo itamchukua kocha wa Mamelodi Sundowns, Manqoba Mngqithi. Mangoba alikuwa akiitumikia...

  10. 'Thank You' Mbeya City, karibu Mashujaa Ligi Kuu

    IKIWA ni msimu wa 10 wakishiriki ligi kuu, Mbeya City ilibakiza dakika 90 tu za jasho na damu kujua hatma yao ya kubaki au kushuka daraja msimu huu kupitia play offlakini ilikuwa tofauti na...

Previous

Page 12 of 17

Next