Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

'Thank You' Mbeya City, karibu Mashujaa Ligi Kuu

IKIWA ni msimu wa 10 wakishiriki ligi kuu, Mbeya City ilibakiza dakika 90 tu za jasho na damu kujua hatma yao ya kubaki au kushuka daraja msimu huu kupitia play offlakini ilikuwa tofauti na walivyotegemea.

City ilifikia hatua ya play off mkondo wa pili baada ya kutolewa hatua ya kwanza kwa mabao 3-2 dhidi ya KMC ya ligi kuu na mechi ya awali dhidi ya Mashujaa ya championship iliopigwa uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma walipoteza kwa mabao 3-1.

Mlango wa Mbeya City Ligi Kuu msimu ujao ukafungwa leo baada ya kupokea kichapo cha bao 1-0 Uwanja wa Sokoine, Jijini Mbeya na bao limefungwa na John Budeba na huu ni ni mchezo wa marudiano 'Playoff' dhidi ya Mashujaa FC.

Mechi ya kwanza Mashujaa waifunga City mabao 3-1 Uwanaja wa Lake Tanganyika na sasa wanapanda Ligi kuu rasmi msimu ujao