Mtibwa yatinga fainali kutetea ubingwa dhidi ya Geita Gold

Muktasari:
- Mabingwa watetezi Mtibwa wanakutana na Geita Gold kwenye fainali itakayochezwa Jumapili Julai 2, 2023, Geita wameingia fainali kwa mara ya kwanza baada ya kuichapa Kagera Sugara mabao 2-0 mabao yakifungwa na Saluja Muhoja na Frank Maganga
Mtibwa Sugur wameingia fainali kwa mara ya tano mfululizo timu ya Vijana chini ya miaka 20 ikiichapa Azam mabao 2-0 katika uwanja wa Azam Complex Chamazi, mabao mawili ya Mtibwa yalifungwa na Athuman Makambo na Azam likifungwa na David Chiwalanga.
Mabingwa watetezi Mtibwa wanakutana na Geita Gold kwenye fainali itakayochezwa Jumapili Julai 2, 2023, Geita wameingia fainali kwa mara ya kwanza baada ya kuichapa Kagera Sugara mabao 2-0 mabao yakifungwa na Saluja Muhoja na Frank Maganga
Azam FC itakutana na Kagera Sugar katika mchezo wakuwania mshindi wa tatu Ligi ya Vijana chini ya miaka 20.