Dili la Nabi Kaizer apewa Ntseki

Klabu ya aizer Chiefs ya Afrika Kusini imemtangaza Molefi Ntseki kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo na kuchukua mikoba ya Arthur Zwane.
Molefi Ntseki alikuwa kwenye Meneja wa Akademi ya timu ya vijana Kaizer na kupandishwa kuwa Kocha Mkuu na alishawahi kuwa Kocha Mkuu wa timu ya Afika Kusini chini ya miaka 17 hadi Agosti 2, 2019-20 na baadae kuchaguliwa kuwa mlezi wa timu ya taifa Afrika Kusini Agosti 3, 2019-20.
Awali Kaizer ilikuwa kwenye mazungumzo na aliyekuwa kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi lakini dili hilo limegonga mwamba baada ya kutaka kutaka kwenda na wasaidizi wake.