Fainali Carabao... Huku Salah, kule Isak MAMBO iko Wembley. Ndicho unachoweza kusema, wakati Liverpool itakapokipiga na Newcastle United kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Ligi, Jumapili.
Bosi kasema... Man United itasajili MKURUGENZI Mtendaji Mkuu wa Manchester United, Omar Berrada amesema kocha Ruben Amorim ameanza kujadiliana na mabosi wa klabu juu ya mipango ya dirisha lijalo la usajili wa majira ya kiangazi...
Kimmich afichua siri kubaki Bayern KIUNGO fundi wa mpira, Joshua Kimmich amefichua kwamba sababu ya kusaini mkataba mpya wa kuendelea kubaki Bayern Munich kwa vile ni mahali anapoamini atafanikiwa kuliko kwenda kwingineko.
Ulaya kwa motooo! Arsenal na Chelsea LIGI Kuu za Ulaya ni mchakamchaka chinja. Si Ligi Kuu England, La Liga, Bundesliga, Serie A wala Ligue 1 kwenye afadhali, kote ni moto.
PRIME Ligi Kuu yamoto… Wazawa, wageni wapangiwa vikosi LIGI Kuu Bara imesimama baada ya jana kupigwa mechi ya kiporo kati ya Simba na Dodoma Jiji, ili kupisha kalenda ya mechi za kimataifa kwa timu za taifa zinazochuana kusaka tiketi ya kufuzu...
Real Madrid yaangukia kwa Enzo Fernandez REAL Madrid imeanza mchakato wa kutaka kumsajili kiungo wa Chelsea na Argentina, Enzo Fernandez ambaye ameonyesha utayari wa kujiunga nayo katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi kwani ni...
Dorgu asifiwa kukataa penalti MASHABIKI wa soka wamemmwagia sifa kedekede Patrick Dorgu baada ya beki huyo wa Manchester United kufanya tukio lililoonekana kuwa la kiungwana katika mechi dhidi ya Real Sociedad.
Bosi mpya Arsenal kumvuta Guimaraes BOSI mpya atakayesimamia usajili Arsenal, Andrea Berta yupo tayari kumvuta kikosini Bruno Guimaraes ikiwa ni sehemu ya kuunda upya safu ya kiungo ya timu hiyo na kuleta watu wa maana.
PRIME England itakavyoingiza timu saba Ligi ya Mabingwa Ulaya LIGI Kuu England inaweza kutawala soka la Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao kwa kuwa na timu saba zitakazoshiriki mikikimikiki hiyo.
Arteta: Real Madrid wepesi tu KOCHA wa Arsenal Mikel Arteta amewatia moyo na kuwataka wachezaji wake kujiandaa vilivyo kuelekea mchezo wao ujao wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Real Madri baada ya kufanikiwa...