CHRIS PAUL: Sio nguvu tu, hata mkwanja upo MIONGONI mwa wachezaji wa NBA ambao hawajakosa kucheza mechi hata moja msimu huu ni Chris Paul wa New Orleans Pelicans ambaye umri umeshaanza kumtupa mkono.
Haaland aweka rekodi nyingine STAA wa Manchester City, Erling Haaland amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia ya Ligi Kuu England, kuhusika katika mabao 100 ikiwa pamoja na kufunga na kutoa asisti kabla ya kufikisha mechi...
Arteta avaa gwanda kwa Nico Williams KOCHA wa Arsenal Mikel Arteta anadaiwa kuwasiliana na wawakilishi wa winga wa Athletic Bilbao, Nico Williams, ikiwa ni katika mipango yake ya kutaka kumsajili katika dirisha la majira ya...
PRIME Karia anakaribia umakamu CAF Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) na baraza la soka Afrika Mashariki na Kati, CECAFA, Wallace Karia amechaguliwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka (CAF).
Arsenal, Darwin Nunez kuna jambo LIVERPOOL ipo tayari kumuuza mshambuliaji wake raia wa Uruguay, Darwin Nunez katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi kwa timu za ndani au nje ya England.
Mkosi bado unamwandama Dele Alli IKIWA ni katika nyakati ambazo ilionekana kwamba anaweza akaanza upya, tabu zimezidi kumwandama mshambuliaji wa zamani wa Tottenham, Dele Alli baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu katika mchezo...
Namba za JKT Tanzania zinashtua LICHA ya kwamba hawatajwi sana, lakini maafande wa JKT Tanzania namba walizonazo katika Ligi Kuu Bara iliyosimama kwa sasa zinashtua.
Mbappe ampiku Ronaldo, amfukuzia Ronaldo WIKIENDI iliyopita, mshambuliaji wa Real Madrid, Kylian Mbappe alivunja rekodi ya ufungaji ya Ronaldo de Lima baada ya kufunga mabao mawili ya haraka dhidi ya Villarreal.
Nico Williams aiingiza Bayern Munich vitani BAYERN Munich imeanza tena kuonyesha nia ya kutaka kumsajili winga wa Athletic Bilbao na timu ya taifa ya Hispania, Nico Williams dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Curry: Rekodi ya mipira 4,000 nyavuni WIKIENDI hii imekuwa ya kuvutia katika historia ya NBA. Mashabiki wa Golden State Warriors waliokuwa wamefurika kwenye Uwanja wa Chase Center walishuhudia tukio la kihistoria kwa Stephen Curry...