Kumbe Cunha alimbembelza Antony asiondoke WINGA wa Real Betis, Antony amefichua kwamba Mbrazili mwenzake, Matheus Cunha alimbebeleza sana kumtaka abaki Old Trafford kabla ya kufanya uamuzi wa kutimkia Hispania.
Rafael Benitez arudi kazini Ugiriki KOCHA, Rafa Benitez amerejea mzigoni baada ya kukubali kuwa kocha mpya wa Panathinaikos.
Maskini Al Merrikh yatupwa nje Afrika AL Merrikh ya Sudan imetupwa nje katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kulazimishwa suluhu nyumbani na FC Lupopo ya DR Congo.
Cole Palmer ambwaga Ronaldo, amtaja Ravel Morrison NYOTA wa Chelsea, Cole Palmer, ametaja kikosi chake cha wachezaji watano bila kumjumuisha Cristiano Ronaldo jambo lililowashangaza wengi.
Arsenal imechomoa betri kwa Garnacho HABARI ndo hiyo. Arsenal imeripotiwa kuwa na mpango wa kumsajili winga wa Manchester United, Alejandro Garnacho kabla ya kuamua kusitisha jambo hilo.
Samatta, Le Havre waanza na kipigo NYOTA wa kimataifa wa Tanzania na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ameanza vibaya Ligue 1 baada ya kikosi anachokitumikia kwa sasa Le Havre kulala kwa mabao 3-1 ikiwa ugenini mbele ya...
Duh! Sikia hii ya Gyokeres BEKI wa zamani wa Liverpool, Jamie Carragher ameshangaza wengi kudai kocha Mikel Arteta hatamtumia straika mpya Viktor Gyokeres katika mechi kubwa za Arsenal msimu huu.
Liverpool yamfariji Mohamed Salah TIMU ya Liverpool ilimtumia supastaa wake Mohamed Salah ujumbe wa faraja baada ya kuthibitishwa kuwa mshambuliaji huyo hakushinda tuzo ya Ballon d’Or 2025.
Enzo Fernandez arudi fasta London kufanyiwa vipimo Nyota wa Chelsea, Enzo Fernandez, amerejea jijini London, kufuatia hofu ya kuwa na majeraha ambayo huenda yakamuweka nje ya uwanja kwa siku kadhaa.
Ndo hivyo, Guehi anaondoka KOCHA wa Crystal Palace, Oliver Glasner amethibitisha beki wa kati Marc Guehi ataondoka kwenye klabu hiyo ikiwa ni miezi michache imepita tangu alipokwama kujiunga na Liverpool kwenye dirisha...