Search

49 results for Isiji Dominic :

  1. Kiptum afuata rekodi ya dunia Chicago Marathon

    BINGWA wa London Marathon, Kelvin Kiptum, aliipa kisogo Mashindano ya Riadha Duniani yaliyofanyika Budapest nchini Hungary na Berlin Marathon nchini Ujerumani ili kuelekeza nguvu zake kwenye mbio...

  2. Hawa hapa wabaya wa K’Ogalo

    BAADA ya mechi tano za Ligi Kuu Kenya msimu mpya, mabingwa watetezi Gor Mahia bado wanaonyesha nia ya kuhifadhi ubingwa wao ila wanapata upinzani mkali kutoka kwa Posta Rangers. Japo ni mapema...

  3. Hatima ya Tanzania kuandaa Afcon leo

    UAMUZI mkubwa na muhimu unaohusu hatima ya Tanzania na mataifa mengine mawili kutoka Afrika Mashariki kuandaa michuano ya Kombe la Afrika 2027 utafahamika leo Jumatano. Tanzania imeungana na...

  4. K’Ogalo, Rangers jino kwa jino

    RAUNDI ya tatu Ligi Kuu Kenya imemalizika ikishuhudia mabadiliko kileleni ila huko mkiani bado hakuna jipya. Wikendi imekuwa tamu kwa Posta Rangers na mabingwa watetezi Gor Mahia waliyomuondoa...

  5. Usiyowapenda wanakuja maze

    SAHAU matokeo ya dakika moja furaha na dakika nyingine hasira ambayo kikosi cha timu ya taifa, Harambee Stars, kinawapa mafans wao na tugeukie mikikimikiki ya Ligi Kuu Kenya kurudi tena wikendi...

  6. Stars piga Wasudani tupande ranki FIFA

    TOP 100 kwenye viwango bora vya soka duniani vinavyotolewa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) inawezekana endapo timu ya taifa, Harambee Stars, itaibuka na ushindi leo Jumanne dhidi ya...

  7. Asikwambia mtu maze kuna raha yake mbio ubingwa NSL

    USHINDANI uliopo ubingwa wa Ligi Kuu Kenya hususan kati ya Tusker FC na Gor Mahia, hautofautiani na ule unaoshuhudiwa Supaligi ya Taifa (NSL) kati ya Shabana FC na Murang’a Seal. Hata hivyo...

  8. Pinki pinki ponki kileleni patamu

    WAZITO FC wameifanyia Tusker FC ile kitu na sasa kuna mfalme mpya kileleni mwa msimamo Ligi Kuu Kenya huku zikiwa zimebakia raundi mbili tu msimu wa 2022/23 kutamatika. Gor Mahia walifaidika na...

  9. Aussems ampa tabasamu Matano

    MAKOCHA Patrick Aussems wa AFC Leopards na Robert ‘Simba’ Matano wa Tusker FC wamekua na bifu lakini kwenye dabi la Mashemeji mwishoni mwa wiki iliyopita, Aussems atakua amemkuna Matano. Akiwa...

  10. Kiptum ndiye Kipchoge mpya

    ILIKUA imebaki sekunde 17 tu, Kelvin Kiptum kuvunja rekodi ya dunia mbio za marathon inayoshikiliwa na gwiji Eliud Kipchoge akitimka kwa kasi ya ajabu katika mbio za London Marathon zilizofanyika...

Previous

Page 2 of 5

Next