JKT yachemsha Bara, ila kazi ipo huku MAAFANDE wa JKT Tanzania kupitia kocha mkuu, Ahmad Ally wamekiri wamechemsha kwa kushindwa kufikia malengo ya Ligi Kuu ya kumaliza ndani ya 5-Bora, lakini kilichobaki kwa sasa wanaelekeza nguvu...
Tiketi ya CAF yampa presha kocha Azam FC KOCHA Mkuu wa Azam FC, Rachid Taoussi amesema matokeo mabaya iliyopata timu hiyo katika mechi za hivi karibuni za Ligi Kuu Bara ni moja ya sababu za kuwarejesha haraka kambini wachezaji ili...
Dakika 180 zampa faraja David Ouma BAADA ya kucheza dakika 180 dhidi ya Fountain Gate katika mechi mbili za kirafiki, kocha mkuu wa Singida Black Stars, David Ouma amesema ataendelea kusaka mechi zaidi kujiweka tayari kuikabili...
Kipigo cha 5-1 chamzindua Minziro KIPIGO cha mabao 5-1 ilichopewa Pamba Jiji kutoka kwa Simba, kimemfanya kocha wa timu hiyo, Fred Felix ‘Minziro’ kuzinduka na kutambua ana kibarua kizito cha kupambana hili kuiokoa timu hiyo kwa...
Beki JKT Tanzania anogewa na vigogo BAADA ya kucheza mechi mbili dhidi ya Simba na Yanga, beki wa JKT Tanzania, Karim Bakiri amesema timu hizo kongwe zina nyota wengi bora ambao wanaufanya mpira kuwa mwepesi wakikutana nazo tofauti...
Yassin: Mzize kaachiwa mikoba na Mayele “LIGI yetu (Kuu Bara) inakua msimu hadi msimu. Inatufanya tukutane na nyota wenye vipaji vikubwa na wanakuja na kutuacha, lakini uondokaji wao umekuwa ukiitangaza Tanzania kwa ubora.
Mgunda aanza mipango mapema KOCHA mkuu wa Namungo, Juma Mgunda ameipiga mkwara Yanga watakayokutana nayo Jumanne ijayo kwenye Uwanja wa KMC, Dar es Salaam akisema ameanza kusuka mipango kuhakikisha wanapata ushindi kwa mara...
Ngoma ayatolea macho makombe matatu Simba BAADA ya kuipa pointi tatu Simba kwenye mchezo dhidi ya JKT Tanzania, kiungo Fabrice Ngoma amesema ubora anaouonesha ni kuhakisha timu hiyo inatwaa mataji yote matatu wanayoshiriki.
Fadlu ashtukia mchongo, apanga upya silaha zake KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davis amesema anafanya mabadiliko ya kikosi chake kutokana na ugumu wa ratiba na ataendelea kufanya hivyo kwa kuwapa mapumziko ya kutosha nyota wake ili kufikia malengo.
Simba yaichapa JKT Tanzania, yatanguliza mguu mmoja Ligi ya Mabingwa BAO la kiungo Fabrice Ngoma alilofunga katika dakika za nyongeza kipindi cha kwanza, limetosha kuipa Simba ushindi wa 0-1 dhidi ya JK Tanzania na kujihakikishia nafasi kubwa ya kushiriki michuano...