PRIME NONDO ZA LEJENDI: Mambo matatu yaliyojificha soka la Bongo KUNA hatua nyingi zimepigwa ki ushindani kwa soka letu kulinganisha na nyakati zilizopita. Inawezekana zisionekane mbele ya watu wengi kutegemea kipimo kinachotumika kwani hata mtu ili awe mrefu...
RUPIA: Straika wa boli asiye na bahati ya penalti UNAPOTAJA washambuliaji watano bora katika Ligi Kuu Bara msimu huu, hutoacha kulitaja jina la mshambuliaji nyota wa Singida Black Stars, Mkenya Elvis Rupia kutokana na kiwango kizuri...
KINAPIGWA: Hatimaye Kiduku, Pialali warudi mjini MEI 24, mwaka huu kwenye Viwanja vya Posta Kijinyama, jumla ya mabondia 30 watapanda ulingoni katika pambano la kimataifa la Knockout ya Mama phase 4, wakiwemo mabondia wenye majina makubwa...
Dakika 190 za Opah Clement Mexico DAKIKA 190 alizocheza Mshambuliaji wa Kitanzania, Opah Clement kwenye kikosi cha FC Juarez ya Mexico zimemfanya aendelee kuaminiwa na kocha wa timu hiyo, Oscar Fernandez.
BDL ni mwendo wa maokoto, ubora WAKATI timu zikitafuta wawekezaji wa kuzisapoti katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), imeonyesha kuwa Dar City na Stein Warriors ndizo pekee zilizopata wawekezaji.
Dakika 15 za kibabe Prisons ikiichezesha kwata JKT Tanzania Pamoja na kutanguliwa mabao mawili, Tanzania Prisons imetumia dakika 15 kufanya 'comeback' na kuifumua JKT Tanzania mabao 3-2 kuendeleza matumaini ya kubaki salama Ligi Kuu.
DAKIKA ZA JIOONI: KMC bado haieleweki KUTOKA nafasi ya tano hadi hivi sasa kupiga hesabu za vidole kuepuka kushuka daraja, inadhihirisha wazi kwamba KMC imekuwa na kiwango cha kupanda na kushuka.
Mayweather aambiwa, 'mbona ungechapwa' BONDIA asiyepigika Floyd Mayweather ameambiwa mapambano yote 50 aliyocheza bila kupoteza ni lazima angepoteza iwapo angezichapa na mkali wa masumbwi wa Mexico, Julio Cesar Chavez.
Rekodi hizi zinasubiriwa Championship 2024/25 WAKATI Ligi ya Championship ikibakisha raundi tano kwa kila timu, ushindani umekuwa mkubwa kuanzia kwa zinazowania kupanda Ligi Kuu Bara, kushuka daraja na nyingine zinazopigania kuhakikisha...
Kali Ongala siku 139 mechi tatu KOCHA Mkuu wa KMC, Kali Ongala amepata ushindi wake wa tatu ndani ya timu hiyo katika kipindi cha siku 139 tangu akabidhiwe kikosi hicho Novemba 14, 2024 akichukua nafasi ya Abdihamid Moallin...