Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

112 results for Matereka Jalilu :

  1. Namba moja NBA yenye kazi nzito

    WAKATI supastaa LeBron James akiwa kinara wa mafanikio katika orodha ya wachezaji waliowahi kuchaguliwa kama namba moja kwenye drafti za Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) kwa wanaocheza hivi sasa...

  2. Kichapo cha Joshua chaibua utata

    BAADA ya bondia Daniel Dubois kushtua dunia kwa kumchapa mwingereza mwenzake, Anthony Joshua usiku wa kuamkia Jumapili, mambo kibao yameibuka kuhusu mapambano yajayo ya uzito wa juu duniani.

  3. MVP Jokic Tishio Celtics NBA

    BOSTON Celtics ndio mabingwa wa ligi ya kikapu Marekani (NBA) msimu uliopita kufuatia kuibuka mshindi ndani ya mechi tano za fainali ya jumla dhidi ya Dallas Mavericks kutokea ukanda wa Magharibi.

  4. Norris Vs Max, kazi ipo Formula 1

    USHINDI WA dereva Lando Norris wa McLaren kwenye mbio zilizopita za Singapore, zilikua muhimu kwake katika jitihada za kushinda taji la mbio za mwaka huu mbele ya bingwa mtetezi, Max Verstappen.

  5. Nadal ‘kuitibulia’ Hispania

    RAFAEL NADAL wa miaka 38 haaminiki tena mbele ya mashabiki wa tenisi duniani achilia mbali hata wahispania wenzake ambao wameweka shaka juu yake kuelekea hatua ya mtoano ya michuano ya Davis Cup...

  6. LEBRON, BRONNY: Ni Baba na mwana mwezi ujao NBA

    ACHANA na rekodi kibao alizoweka supastaa wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA), LeBron James, tangu aanze kuichezea 2003, lakini miaka 21 baadaye anakaribia kuweka rekodi ambayo haipo kabisa ya...

  7. JOSHUA Vs DUBOIS: Vita ya watoto wa nyumbani

    Hatimaye dunia inaenda kushuhudia pambano kubwa la uzito wa juu (heavyweight) linalowakutanisha waingereza Anthony Joshua na Daniel Dubois watakaopanda ulingoni Jumamosi hii uwanjani Wembley...

  8. Mclaren safi, bado Norris

    MIAKA miwili na nusu imetosha kwa kampuni ya McLaren kuvunja utawala wa kampuni ya Red Bull kukalia usukani kwa muda mrefu bila kushushwa, baada ya mbio za Baku nchini Arzebaijan Jumapili iliyopita.

  9. Tatum amtisha kocha Warriors

    WAKATI tukiwa na mwezi mmoja pekee kabla ya kuanza kwa ligi ndefu (regular season) mwezi ujao, Kocha wa timu ya Golden State Warriors, Steve Kerr ameingia ubaridi wa kucheza dhidi ya bingwa...

  10. Cetics, Dallas kucheza fainali NBA?

    ITAJIRUDIA KWELI? Kauli ya supastaa namba moja wa mabingwa watetezi wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA), Jayson Tatum wa Boston Celtics kwamba fainali ya msimu uliopita itaikutanisha timu yao dhidi...

Page 1 of 12

Next