SPOTI DOKTA: Sababu nchi za Afrika Mashariki na Kati kutawala riadha
WAKATI wa Olimpiki mwaka 2008, 2012 na 2016, wanariadha kutoka Afrika Mashariki kutoka Kenya na Ethiopia, walishinda theluthi mbili ya medali zote za dhahabu katika mashindano ya masafa ya kati...