Simba yaichapa JKT Tanzania, yatanguliza mguu mmoja Ligi ya Mabingwa BAO la kiungo Fabrice Ngoma alilofunga katika dakika za nyongeza kipindi cha kwanza, limetosha kuipa Simba ushindi wa 0-1 dhidi ya JK Tanzania na kujihakikishia nafasi kubwa ya kushiriki michuano...
Pamba Jiji yaja mjini kimkakati PAMBA Jiji imeshacheza mechi nne za Ligi Kuu jijini Dar es Salaam bila kuonja ushindi, ilianza kutoka suluhu na Azam FC kabla ya kunyooshwa 4-0 na Yanga, kisha ikachezea kichapo cha bao 1-0...
Coastal Union yaanza na kiungo wa boli WAGOSI wa Kaya, Coastal Union wameanza usajili wa kimya kimya kwa kuibomoa Ken Gold kwa kuamua kumsajili kiungo Kiala Lassa wa timu hiyo iliyoshuka daraja, ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa...
Kaseja awatuliza mastaa Kagera Sugar KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Juma Kaseja anajua wana mechi ngumu za kumaliza msimu salama, lakini amesema amefanya kikao na wachezaji wa timu hiyo kuwatuliza na kuwataka wacheze kiufundi na kuweka...
PRIME Mwamuzi mechi ya Simba, Mashujaa FC achunguzwa MWENYEKITI wa Kamati ya Waamuzi Tanzania, Nassor Hamduni amesema kwa mujibu wa kanuni za Chama cha Waamuzi Tanzania (FRAT), hairuhusiwi mwamuzi kuwa mwanachama wa klabu na kama ikibainika...
PRIME Aucho akoleza mzuka Yanga KIKOSI cha Yanga kimesharejea jijini Dar es Salaam kikitokea Pemba, Zanzibar kilipoenda kushiriki michuano ya Kombe la Muungano na kuibuka mabingwa kwa kuifunga JKU kwa bao 1-0, huku kiungo wa...
PRIME Sababu tatu zilizoiangusha Yanga CAS MABOSI wa Yanga inaelezwa jana waliitana na kujifungia ili kujadili hukumu ya kesi waliyoifungua Mahakama wa Kimataifa ya Usuluhishi ya Michezo (CAS), iliyotupiliwa mbali, huku zikitajwa sababu...
PRIME Usajili CAF… Bada, Sure Boy wapishana Yanga KITAKWIMU ni rasmi kwamba Yanga imeshafuzu Ligi ya Mabingwa msimu ujao ikiwa imesaliwa na mechi kadhaa mkononi.
PRIME Mastaa wanne wapishana Yanga KITAKWIMU ni rasmi kuwa, Yanga imeshafuzu Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao ikiwa imesaliwa na mechi nne mkononi.
Nyota Tabora United amzimia Mpanzu BEKI wa zamani wa Polisi Tanzania na Yanga anayekipiga kwa sasa Tabora United, Yassin Mustafa amemtaja Elie Mpanzu, ndiye winga hatari zaidi katika Ligi Kuu Bara na ni Luis Miquissone mpya wa...