Juventus yaja kivingine kwa Jadon Sancho JUVENTUS inaongeza juhudi kwa ajili ya kumsajili winga wa Manchester United na timu ya taifa ya England, Jadon Sancho, mwenye umri wa miaka 25, na inaweza kumtoa mchezaji wake kiungo kutoka...
Sporting, Gyokeres mambo yazidi kuwa mabaya MABOSI wa Sporting Lisbon wana hofu kuwa staa wao anayewindwa na Arsenal, Viktor Gyokeres, ataendelea kushikilia msimamo wake wa kutojiunga na timu na hatohudhuria mazoezi leo, Jumatatu ikiwa ni...
Jux: Sijafilisika bado nadunda MWIMBAJI wa Bongo Fleva, Jux amekanusha madai ya kufilisika hadi kufunga duka lake la African Boy baada ya kufanya sherehe ya kifahari ya harusi yake mkewe Priscilla Ajoke Ojo.
Dada afunguka Ronaldo kutohudhuria mazishi BAADA ya ripoti nyingi juu ya kukosekana kwa staa Cristiano Ronaldo kwenye mazishi ya Diogo Jota, hatimaye dada yake, Katia Aveiro, ameeleza ukweli kwa nini nahodha huyo wa Ureno hakuhudhuria...
Chiku wa Kombolela apata funzo MWIMBAJI wa muziki taarabu, Hanifa Maulid ‘Jike la Chui’ anayetamba katika tamthilia ya Kombolela kwa jina la Chiku, amesema amejifunza mengi baada ya kupata nafasi ya kuigiza.
Son awasubirisha Wamarekani KLABU ya soka ya Los Angeles FC ya Marekani italazimika kusubiri kwa muda kwenye mchakato wa kunasa saini ya nahodha wa Tottenham Hotspur, Son Heung-min.
Rashford avuliwa jezi, apewa Cunha Man United STAA wa Manchester United, Marcus Rashford amevuliwa jezi namba 10 na kukabidhiwa staa mpya, Matheus Cunha.
Zubimendi, Norgaard kuwahi pre-season Arsenal ARSENAL ina matumaini makubwa kwamba itakamilisha dili la usajili wa Martin Zubimendi na Christian Norgaard kwa wakati kabla ya kuanza kambi ya pre-season huko Hispania, wiki ijayo.
Man united, Thomas Muller aje au asije? AJE au asije? Pengine hilo ni swali wanalojiuliza mashabiki wa Manchester United kwa sasa baada ya staa wa Ujerumani na Bayern Munich, Thomas Muller kudai amekuwa akivutiwa na miamba hiyo ya Old...
Ronaldo ashambuliwa kutohudhuria mazishi ya Jota Kutokuwepo kwa Cristiano Ronaldo kwenye mazishi ya pamoja ya nyota wa Liverpool, Diogo Jota na mdogo wake Andre Silva kumesababisha mshangao mkubwa nchini Ureno, leo.