Search

74 results for Mwandishi Maalum :

 1. NIONAVYO: Ni kweli wachezaji wetu wanapiga misosi sahihi?

  utimamu wake baada ya shughuli nzito kama mechi au mbio nahivyo basi wanahitaji kuangaliwa zaidi katika mlo wanaopewa. Vilevile,wanamichezo wanaokua wanahitaji aina ya kipekee yam lo ili miili yao...

 2. Yanga yafafanua mazungumzo na SportPesa

  Taarifa iliyoshtua wengi ni juu ya wadhamini wakuu wa Yanga kampuni ya SportPesa kulalamika hatua ya klabu hiyo kuingia mkataba na wadhamini wengine wakuu maalum lakini bosi mmoja amefafanua.

 3. Yanga akili kubwa, Yacouba OUT

  BAADA ya mapumziko ya siku 10 tangu walipocheza mchezo wa mwisho, Yanga jana ilirudi mazoezini kuanza kujiandaa na muendelezo wa ligi na ratiba yao iko hivi. Kikosi hicho kimerudi kazini kikiwa...

 4. Mayele afuata tuzo yake Congo

  MSHAMBULIAJI kinara wa Ligi Kuu Bara, Fiston Mayele ameifuata tuzo yake DR Congo ambayo inatarajiwa kutolewa Januari 7 mwaka huu. Mayele ameondoka jioni hii kuelekea nchini kwao ambapo safari yake...

 5. MZEE WA UPUPU: Diamond, Zuchu picha lilianzia kwa dada mtangazaji

  DIAMOND Platinumz na Zuchu wameudhihirishia ulimwengu wa mashabiki wao na muziki kwa ujumla kwamba wanaishi kwenye sayari ya ndoto zao, sayari mapenzi! Hii ni baada ya tetesi nyingi na za muda...

 6. Watanzania kushinda zawadi Kombe la Dunia

  Dar es Salaam. Katika hatua ya kuendeleza hamasa katika michuano ya Kombe la Dunia inayoendelea nchini Qatar, kampuni ya simu ya Airtel Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya michezo ya kubashiri...

 7. Kinachoitesa Simba ni hiki...

  KUNA ukweli ambao mashabiki wa Simba wengi hawataki kuusikia kwa kuwa wameaminishwa msimu huu wana kikosi bora sana. Lakini ukisimama karibu na uwanja ukachunguza vizuri ufanisi wa kikosi cha...

 8. MTU WA MPIRA: Yanga imepiga hatua moja, bado 100 mbele

  NIMEONA sherehe kubwa sana kwa Yanga kufuzu hatua ya makundi. Ni sherehe kubwa mno mithili ya ndoa ya mwanaume aliyegoma kuwa hata na mchumba kwa muda mrefu. Ni sherehe kwa Wanayanga wakubwa na...

 9. Wala mihogo ndo wenye Yanga yao

  GHAFLA sana nimemkumbuka marehemu Abbas Gulamali. Huyu alikuwa Mwenyekiti wa zamani wa Yanga. Vijana wengi wa siku hizi hawamfahamu kwa sababu hazungumzwi sana. Gulamali alikuwa anaipenda Yanga...

 10. Mchawi Yanga ni huyu hapa!

  UPEPO mbaya unaendelea kuitesa na kuipeperusha Yanga katika mashindano ya kimataifa, licha ya uwekezaji mkubwa unaonekana kufanywa ndani ya timu hiyo, lakini bado imeshindwa kufuta mwenendo wa...

Page 1 of 8

Next