RC Mtanda: Mwenda usiondoke Yanga, hiyo ndio timu bora
MKUU wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amempongeza beki wa Yanga, Israel Mwenda kwa mafanikio aliyoyapata msimu huu akiwa na kikosi hicho, huku akimuomba asiondoke klabuni hapo kwa ndio timu bora...