PRIME Stars yapewa refa ‘nuksi’ Morocco REFA asiye na historia nzuri na timu za Tanzania, Alhadi Allaou Mahamat kutoka Chad, ndiye amepangwa kuchezesha mechi ya ugenini ya Taifa Stars’ dhidi ya Morocco, Jumatano Machi 26, 2025 ya...
Osimhen aitamani tena Italia, Juventus yatajwa MSHAMBULIAJI wa Napoli na timu ya taifa ya Nigeria, Victor Osimhen, 26, ambaye mara kadhaa ametajwa ana mpango wa kwenda England, imefichuka pia angependa kurudi Italia ambako Juventus inahitaji...
Haaland haogopi kesi ya Man City STRAIKA Erling Haaland amefichua mabosi wa Manchester City wamemhakikishia watashinda mashtaka yao 130 yanayowakabili dhidi ya Ligi Kuu England juu ya madai ya udanganyifu kwenye mapato na matumizi.
Kinda Lewis-Skelly mwanzo mzuri KINDA wa Arsenal, Myles Lewis-Skelly ameweka rekodi ya kucheza mechi yake ya kwanza kwenye timu ya taifa ya England na kisha kufunga bao katika mechi hiyo ya kimashindano.
Polisi Thailand avaa jezi ya Liverpool amkamate muhalifu WANASEMA tembea uyaone. Ndiyo hivyo, polisi wa upepelezi Thailand walivaa jezi za Liverpool kwa ajili ya tukio la kumkamata shabiki wa Newcastle United aliyedaiwa kuhusika na biashara ya dawa za...
Sandro Mamukelashvili aandika historia akiibeba San Antonio Spurs MCHEZO wa NBA uliofanyika Alhamisi ulivutia hisia za mashabiki wengi kutokana na kipaji cha cha mchezaji wa San Antonio Spurs, Sandro Mamukelashvili, ambaye aliandika historia mpya katika ligi...
ALAA KUMBE! Kilichopo nyuma ya miwani ya vioo vyekundu wanayovaa mastaa England HABARI ya mjini kwa sasa kwenye Ligi Kuu England ni mastaa wake kuvaa miwani yenye vioo vya rangi nyekundu.
He! Merino ataka aongezwe mshahara UMESIKIA hii? Staa mpya wa Arsenal, Mikel Merino anataka apandishiwe mshahara wake kutokana na sasa kufanya majukumu mengine kabisa tofauti na yaliyofanya asajiliwe.
Raphinha nusura aipige kibuti FC Barcelona STAA wa Kibrazili, Raphinha amefichua kwamba nusura aachane na Barcelona msimu uliopita, lakini ujio wa kocha Mjerumani Hansi Flick ulimbadili mawazo na kubaki Camp Nou.
Ishu ya Thiery Henry sababu ni hii KIGOGO wa zamani wa Arsenal, Keith Edelman amefichua sababu iliyoifanya klabu hiyo kumpiga bei supastaa wao Thierry Henry kwenda Barcelona mwaka 2007.