Nicol amtema Slot, ‘ampigia debe’ Alonso Liverpool NGULI wa zamani wa Liverpool, Steve Nicol amebadili msimamo wake kuhusu mustakabali wa benchi la ufundi la klabu hiyo na sasa anamtaka Xabi Alonso kuchukua nafasi ya Arne Slot.
Vinicius anawindwa kama swala England MANCHESTER United, Manchester City, Chelsea na Arsenal, zimeripotiwa kuwasiliana na wawakilishi wa mshambuliaji wa Real Madrid, Vinicius Junior, 25, ili kuulizia uwezekano wa kuipata saini yake...
Bernardo Silva, Man City ndo basi tena KIUNGO na nahodha wa Manchester City, Bernardo Silva anatarajiwa kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu kwa uhamisho wa bure, baada ya kudumu kwa miaka tisa katika kikosi hicho.
Nusu fainali Kombe la FA siyo kinyonge DROO ya nusu fainali ya Kombe la FA imetoa picha mpya ya michuano hiyo kati ya timu zilizofuzu, huku kila moja ikipania kutinga fainali na hatimaye kutwaa ubingwa.
Bayern Munich yatuliza mashabiki majeraha ya Kane BAYERN Munich imetoa taarifa njema kuhusu mshambuliaji wao tegemeo, Harry Kane, huenda akarejea uwanjani mapema kabla ya mechi muhimu dhidi ya Real Madrid katika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa...
Simba Vs Dodoma Jiji kupigwa Sheikh Amri Abeid Kabla ya mchezo huo, itacheza na TRA United uwanjani hapo Aprili 9, 2026 na Aprili 15, 2026 itakuwa na mechi nyingine hapo dhidi ya Fointain Gate.
Neymar anaandaliwa akakipige Kombe La Dunia 2026 NYOTA wa Brazil, Neymar amefanyiwa matibabu maalum ya goti wakati wa mapumziko ya kimataifa ili kumweka katika hali bora kuelekea Fainali za Kombe la Dunia 2026.
VAN DAMME; Mkali wa mapigano anayeendelea kuvuna MWISHONI mwa wiki iliyopita, jina la Jean-Claude Van Damme lilitikisa tena kwenye vyombo vya habari baada ya taarifa kuibuka staa huyo wa zamani wa filamu za mapigano anatajwa kupewa dili jipya...
Maswali magumu ratiba Ligi Kuu Bara BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imetoa ratiba mpya ya kumalizia msimu wa 2025/26 na mechi za mwisho za mzunguko wa 30 ambazo ni za kufunga msimu, zitapigwa Juni 30,2026.