Newcastle Utd, Nottingham Forest zajitosa kwa Nunez
NOTTINGHAM Forest na Newcastle United zote zinapigana vikumbo kwa ajili ya kuipata saini ya mshambuliaji wa Liverpool na timu ya taifa ya Uruguay, Darwin Nunez, 25, ambaye anadaiwa kuwekwa sokoni...