Raia nusura wamuue mkongwe kwa ujambazi MCHEZAJI maarufu wa zamani wa Ecuador, Christian Lara, amekamatwa kwa tuhuma za kuhusika katika jaribio la ujambazi wa kutumia silaha, na kushambuliwa na wananchi waliokuwa jirani na eneo...
Hapa ndo anapoishi bosi kubwa Arsenal JE umewahi kujiuliza mtu anayesimamia himaya ya michezo yenye thamani ya mabilioni ya dola huenda wapi kupumzika? Unapokuwa Josh Kroenke, hununui tu nyumba, bali unanunua mahali pa kujisitiri.
EPL yashauriwa kuanzisha 'Play-off' za kushuka daraja LIGI Kuu England inapaswa kuanzisha mechi za mchujo (play-off) za kushuka daraja ili kurudisha utaratibu uliowahi kuwapo miaka ya nyuma na hivyo kuifanya kuwa bora zaidi kwa kuwa mara tu baada ya...
Arsenal, Barca kasheshe, presha ya ubingwa yapanda WASHIKA mitutu wa London, Arsenal wanarejea kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu England wakiwa na presha ya ushindi baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo katika michuano ya ndani.
Bruno Fernandes, Cristiano Ronaldo ngoma droo KIUNGO wa kimataifa wa Ureno, Bruno Fernandes anaendelea kudhihirisha ni mmoja wa wachezaji muhimu kwenye kikosi cha Manchester United, huku jina lake likiendelea kuandikwa katika historia ya...
Toney, Galeno waibua kashfa Saudi Arabia, waitaja Al Nassr MWAMBA kachokonolewa. Mshambuliaji wa kimataifa wa England, Ivan Toney anayekipiga Ah Ahli ya Saudi Arabia ametoa mashambulizi makali dhidi ya uadilifu wa uamuzi wa waamuzi katika Saudi Pro...
Robertson, Liverpool wamalizana England HABARI hii inaweza kutafsiriwa tofauti na mashabiki wa Liverpool, kwani inaashiria mwisho wa enzi ya mmoja wa wachezaji muhimu zaidi kwa mafanikio ya hivi karibuni, Andy Robertson.
Shuti la Lionel Messi laharibu kamera ya mpigapicha! UNAPOMUONA Lionel Messi akijiandaa kupiga shuti na wewe uko nyuma ya goli ukiwa na kamera mkononi elewa kwamba unajiandalia balaa kwani unaweza kunasa picha ya kipekee au ukajikuta unaharibu...
Neymar kwenye rada ya Ligi Kuu Marekani WANASEMA kila mtu na bahati yake. Kuna kila dalili zinaonyesha supastaa wa Kibrazili, Neymar, anaweza kuwa anafikiria mabadiliko mapya katika maisha yake ya soka na safari hii akitarajiwa kutua...