MTU WA MPIRA: Viongozi Azam FC wajitathmini, timu imekwama IPI timu tajiri zaidi nchini kuliko Azam FC? Hakuna. Si Simba wala Yanga, Azam ndio timu tajiri zaidi hapa Tanzania. Kwanza inamilikiwa na familia ya bilionea Salim Said Bakhresa. Ni mtu...
Simba vs Dodoma Jiji yabadilishiwa tena muda BODI ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) inawataarifu wadau wote wa Ligi Kuu ya NBC kuwa muda wa kuanza kwa michezo ya Ligi itakayochezwa Jumatatu Machi 7, 2022 imerejea kuwa kama ilivyoainishwa...
Tanzania yanukia kombe la Dunia Timu ya taifa ya Wanawake kwa umri chini ya miaka 17, imeanza vizuri kampeni yake ya kuwania kushiriki kombe la Dunia mwaka huu huko India.
Rekodi sita Simba zinavyoitesa Yanga YANGA msimu huu imeonekana haitanii kwani kuna jambo inalitaka kutokana na mwendo ilionao kwenye Ligi Kuu.
Simba kimataifa shida ilianzia hapa KWA misimu minne mfululizo, Simba imekuwa ikiteseka na mabao yatokanayo na mipira ya juu ya krosi, kona na frii-kiki.
Aucho, Djuma washtua Yanga VIKOSI vya Yanga na Geita Gold tayari vipo jijini Mwanza kwa ajili ya mechi yao itakayopigwa leo, huku mastaa wawili wa Jangwani, Khalid Aucho na Djuma Shaban wakishtua mashabiki wa timu hiyo...
Makocha wanane nchini 'waula' Afrika michezo cha Filbert Bayi yakiandaliwa na Chama cha Netiboli Tanzania (Chaneta) na kupewa sapoti na Taasisi ya Filbert Bayi iliyopo Kibaha, Mkuza mkoani Pwani. Akifunga mafunzo hayo, mkuu wa...
M-BET yatumia Sh 226.5 milioni kwa washindi wa Perfect 12 Kampuni ya mchezo ya kubashiri matokeo ya M-BET Tanzania imeendelea 'kumwaga' fedha kwa washindi baada ya kumzawadia shabiki wa timu ya Yanga na Chelsea Peter Nangi kitita cha Sh...
MPAPASO WA MASAU BWIRE: Mpapaso ulianza hivi, karibuni tuliamshe AHLAN Wa Sahlan... wasomaji wa Mwanaspoti kwa mara ya kwanza na kuanzia sasa nitakuwa nanyi kila Jumamosi katika gazeti hili pendwa la michezo na burudani nchini na ukanda wa Afrika Mashariki.
Familia ya Uncle Zumo wote waigizaji . Mbali ya kuigiza Ni fundi wa kutengeneza magari, ni dereva ambaye aliwahi kuendesha gari zinazokwenda Kusini mwaka 2010 hadi 2011 na pia aliwahi kuendesha daladala huku akisema msanii anayemvutia...