Mashabiki wachekelea Simba, Yanga kugawana visiwa Zanzibar MASHABIKI wa soka mjini hapa wamepagawa baada ya Simba na Yanga kuvamia na kugawana visiwa kwa staili ya aina yake.
Nataka kuweka historia Yanga! YANGA imefanya kweli baada ya kumnasa kiraka, Edward Charles Manyama ambaye amewatamkia mabosi wake hao wapya kamwe hawatajutia usajili wake.
INAWEZEKANA: Chelsea watashinda Ligi Kuu England MSOMAJI, Ligi Kuu England inaanza wiki hii. Wakati kama huu mwaka mmoja uliopita, niliandika makala katika gazeti hili nilipotabiri kwamba Man City itakuwa mabingwa katika ligi hiyo.
Yanga jeuri tu! >BARAZA la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa) limepokea majina 20 ya Yanga na kuyaangalia mara mbili na kisha kuyaweka pembeni na kuwaambia viongozi wa Jangwani pamoja na...
Maximo ashusha mastaa Kagame >KOCHA wa Yanga, Mbrazili Marcio Maximo ameamua kuwatupia mzigo wa Kombe la Kagame wasaidizi wake, Leonardo Neiva na Shadrack Nsajigwa na kuwapa wachezaji 21 ambao anasema wana uwezo wa...
Vita ya ubingwa Ligi Kuu Bara ngoma inogile msimu ujao TIMU zinazoshiriki Ligi Kuu Bara msimu ujao ziko katika harakati za kujiimarisha na wachezaji wa timu hizo wanakiona cha moto sasa kwa kukimbizwa ufukweni na kupewa mazoezi mazito viwanjani na...
Yanga wameamua, Maximo hataki kubahatisha YANGA kweli wameamua. Kocha Marcio Maximo ‘The Chosen One’ hataki kubahatisha na kuanzia sasa kila nafasi katika kikosi chake itakuwa ina watu wa uhakika wasiopungua watatu.
Nooij anatumia mfumo wa kizamani bila ya kujua MFUMO ni mpangilio wa wachezaji wanavyojipanga uwanjani ili kutekeleza majukumu waliyopewa na mwalimu wa timu kocha au meneja wao.
MCHUANO: Diego Costa katika vita ya Lukaku na Torres CHELSEA imemnyakua straika Diego Costa na kumsainisha mkataba wa miaka mitano. Ni muda mrefu na kama staa huyo Mhispaniola atakuwa kwenye ubora wake, basi Chelsea watamfaidi kwelikweli.
Maximo: Tatizo ni uteuzi wa Scolari KOCHA Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo ‘The Chosen One’ na msaidizi wake, Leonardo Neiva, juzi Jumanne hawakupata usingizi kisa kikiwa ni Brazil kupokea kipigo cha aibu cha mabao 7-1 mbele ya...