Gari lililobeba mwili wa Ally Star laharibika njiani, mazishi kufanyika leo
Mwili wa mtunzi, mwimbaji na mpiga gitaa, Ally Star unatarajiwa kuzikwa leo asubuhi wilayani Kilosa, mkoani Morogoro, baada ya msafara ulioubeba kutoka Dar es Salaam kuchelewa kufika kufuatia...