Okwi wa kazi gani? mashabiki wa Yanga wakejeli STRAIKA mpya Mbrazili aliyekuwa akikejeliwa na mashabiki wa Yanga, Genilson Santos ‘Jaja’ jana Jumapili amepiga bao mbili kati ya tatu zilizoipa ushindi timu yake dhidi ya Azam na kushangilia kwa...
KIMEO: Arsenal na ugonjwa wao MSIMU uliopita, hakuna timu yoyote iliyoongoza msimamo wa Ligi Kuu England kwa muda mrefu kuliko Arsenal.
Coutinho, Tegete ndiyo basi tena Yanga >UWEZEKANO wa Andrey Coutinho wa Yanga kucheza mechi ya Ngao ya Hisani dhidi ya Azam keshokutwa Jumapili kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam ni finyu. Si yeye tu hata straika, Jerry...
Mabeki Yanga watuma salama kwa mashabiki BEKI wa kushoto wa Yanga, Oscar Joshua, amewaambia mashabiki wa Yanga wasibabaishwe na kuondoka kwa straika Emmanuel Okwi kwenda Simba kwani watamshugulikia ipasavyo uwanjani hata wakikutana...
SIMBA, YANGA NI SHIIDA! NI Shiida! AZAM ndiyo klabu tajiri na yenye udhamini mnono zaidi Tanzania Bara. Ina udhamini wa zaidi ya Sh1 bil kwa mwaka, potezea kidogo hiyo ishu. Simba na Yanga zilikuwa zimejificha Zanzibar...
Yanga muziki mnene YANGA iliyokuwa kambini Zanzibar inarejea Dar es Salaam leo Alhamisi na inatarajiwa kuonekana kwa mara ya kwanza uwanjani wikiendi hii itakaposhuka kukipiga kwenye mchezo wa kirafiki ambao hata...
Tanzania kuandaa Afcon 2017 SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetangaza nia ya kuandaa fainali za Mataifa ya Afrika za 2017 baada ya kujitoa kwa Libya kutokana na sababu za kiusalama.
Yanga gonga gonga nyingi >KOCHA mkuu wa Yanga, Mbrazili Marcio Maximo, anataka kikosi chake kicheze soka safi la pasi zenye malengo na kuvutia ‘gonga’ ya moja, mbili unaachia kwa haraka.
Panga pangua, hii ndio Yanga mpya >HII ni siri usimwambie mtu yeyote, uchune nayo hivyo hivyo kwa vile bado Marcio Maximo hajaweka wazi kikosi chake cha kwanza lakini tathmini ya Mwanaspoti imekibaini.
Mashabiki wachekelea Simba, Yanga kugawana visiwa Zanzibar MASHABIKI wa soka mjini hapa wamepagawa baada ya Simba na Yanga kuvamia na kugawana visiwa kwa staili ya aina yake.